vulcan
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 1,742
- 2,459
Power rationing happened in Kenya lastly in the 90s broStill power rationing inawasumbua!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Power rationing happened in Kenya lastly in the 90s broStill power rationing inawasumbua!
Hahahahhaha, sour grapes because no private investor wants to put money in the Tanzanian energy sector.
Wind energy my foot, hiyo idara sisi hata hatutaki, endeleeni kuwa peke yenu. Tutakutana kwenye hydropower na Gas.
2.4 MW and you are proud? Kipeto is 100 MW, Turkana is 350MW, Kengen will be 400 MW on completion, Lamu wind will be 100MW and you are showing us 2.4 MW proudly? Come on have some shame.
The smallest wind farm in Kenya generates 25 MW (Kengen ngong hills wind farm) and you think 2.4 MW is "Kipekee". Tanzanians always find a way to go lower than you expect.
Yaani huna aibu kutuwekea hapa mradi wa megawati 2.4 wakati Kenya tuna mradi uliokamilika unaozalisha megawati zaidi ya 300? Wacha mchezo bwana. Nyie bado sana.
😂😂 nilikua nakuonesha tu kwamba huo upuzi wa umeme wa upepo sio kipaumbele chetu, lakini miradi kama hiyo tunayo.Yaani huna aibu kutuwekea hapa mradi wa megawati 2.4 wakati Kenya tuna mradi uliokamilika unaozalisha megawati zaidi ya 300? Wacha mchezo bwana. Nyie bado sana.
Umeme wa upepo sisi sio kipaumbele chetu lakini miradi kama hiyo tunayo pia. Tanzania tunavyanzo vingi vya kutupa umeme wenye uhakika na ndio tunawekeza uko, nadhani umeona mradi mkubwa unaondelea uko rufiji, lakini pia tumewekeza kwenye gesi na makaa ya mawe, na kwa taarifa yako tu, labda kama ulikua aujui Tanzania tuna madini ya uranium kwa hiyo kuhusu umeme nyie kueni wa pole tu.The smallest wind farm in Kenya generates 25 MW (Kengen ngong hills wind farm) and you think 2.4 MW is "Kipekee". Tanzanians always find a way to go lower than you expect.
Hujui sababu ya Tanzania kuitwa Tanzagiza au Dar es salaam kuitwa Dark es sluum?😂Still power rationing inawasumbua!
Tanzania ni giant wa East Africa kwa landmass, poverty, disease, malnutrition/utapiamlo na Elimu duni.😂😂 nilikua nakuonesha tu kwamba huo upuzi wa umeme wa upepo sio kipaumbele chetu, lakini miradi kama hiyo tunayo.
Tanzania kama giant wa east africa tunawekeza zaidi kwenye umeme wa uhakika kama mradi mkubwa wa rufiji unavyoendelea, pia tuna gas na makaa ya mawe ya kutosha, lakini usisau kua Tanzania tuna uranium, kwa hiyo kuhusu umeme wala amtupi shida kabisa
Punguza mihadarati! You do not have such because nobody wants to invest in your energy sector.😂😂 nilikua nakuonesha tu kwamba huo upuzi wa umeme wa upepo sio kipaumbele chetu, lakini miradi kama hiyo .tunayo.
Tanzania kama giant wa east africa tunawekeza zaidi kwenye umeme wa uhakika kama mradi mkubwa wa rufiji unavyoendelea, pia tuna gas na makaa ya mawe ya kutosha, lakini usisau kua Tanzania tuna uranium, kwa hiyo kuhusu umeme wala amtupi shida kabisa.
Hebu tueleze jinsi vipi umeme wa wind power si umeme wa kihakikaUmeme wa upepo sisi sio kipaumbele chetu lakini miradi kama hiyo tunayo pia. Tanzania tunavyanzo vingi vya kutupa umeme wenye uhakika na ndio tunawekeza uko, nadhani umeona mradi mkubwa unaondelea uko rufiji, lakini pia tumewekeza kwenye gesi na makaa ya mawe, na kwa taarifa yako tu, labda kama ulikua aujui Tanzania tuna madini ya uranium kwa hiyo kuhusu umeme nyie kueni wa pole tu.
Nchi zote zenye maendeleo makubwa zimewekeza kwenye umeme wa nuclear ges na makaa ya mawe, na umeme w upepo ni kama ziada tu, na ndivyo Tz tunavyofanya, ukizingatia resources zote tunazo zakufanya tuwe na umeme wa uhakika kama makaa ya mawe, gesi, na madini ya uraniumHebu tueleze jinsi vipi umeme wa wind power si umeme wa kihakika
We ni kama unalinganisha nchi za uzunguni na sisi, Hii 300MW au 100MW au 400MW tunazojisifia hapa Africa ni kidogo sana, Wind engergy kule ujerumani inazalisha 25,000 MW hio 25GW huko kwao ndo 'umeme wa ziada' wakati huku kwetu hio 25GW ni sawa na umeme wa Subsahara Africa nzima ukiondoa SA.Nchi zote zenye maendeleo makubwa zimewekeza kwenye umeme wa nuclear ges na makaa ya mawe, na umeme w upepo ni kama ziada tu, na ndivyo Tz tunavyofanya, ukizingatia resources zote tunazo zakufanya tuwe na umeme wa uhakika kama makaa ya mawe, gesi, na madini ya uranium
Kama ukuweza kumuelewa mwalimu wako darasani, mimi ndio autanielewa kabisaSikuelewi Mkuu, unalia ama ni Povu?
duh hapa umejifariji kwa kujidanganya sana, hongera sana keep dreaming sirInstead of being envious try and build your private sector so that investors can be attracted to your energy sector. I know you are waiting on GOT to deliver power projects like Rufiji 2000MW dam. Kenya left that to the private sector who have projects lined up to inject 2600 MW into the grid by 2023 with only 400MW out of 2600 coming from a majority government company (Kengen).