Kenya: The least starving country in East Africa.

Kenya: The least starving country in East Africa.

Wewe hata ukiwa ikulu uko na Uhuru ila ukishikwa na kiu kama ni kabila tofauti na yeye maji hupati labda mvua inyeshe ukinge mdomo
Asante sana kw hadithi ya babu mjukuu
 
Yaani tz kuna njaa??..hio inaweza kuwa source uchwara,they know nothing about golden tz .
 
According to reliable sources.

Kenya is China's subordnate.

Also according to reliable sources.

Kenya's debt is somewhere near the sky.

Hivi matatu yameanza kufanya kazi? Maana mlikua mmedhamiria kutumia magari ya jeshi lenu adhimu. Sasa mimi nikawaza "Mnasumbuliwa mno na Al Shabab na mbona hamtumii kila resource mliyonayo badala yake hadi magari ya jeshi yako idle yakingoja matatu yagome?"
Enda shule uketi kitako ukasome! Al Shabab is an ideology, huwezi pigana na ideology kupitia risasi, la hasha!., marekani, na UK wameshindwa despite their well organized and sophisticated army, hao ndio wamefanya terrorism kuongezeka duniani, ideology can only be exchanged by another, vita hivi ni siasa na biashara tu.
Elewa hili; Al shabab wote ni waislamu lakini waislamu wote sio Al shabab, so hao Al shabab wanaweza kua kakako, mjomba, rafiki, jirani ama mashemeji., TPDF haiwezi lolote hapa, kama rebels wa Congo wanawakaranga je Al shabab?
 
My nigga you are full of shit.

Al Shabab ni ideology? Na terrorism ni nini?

TPDF haina jurisdiction na Congo inaenda kwa mujibu.

So hamtadeal na Al Shabab kwakua kuna nchi zimeshindwa?

Hao USA unaowataja they took war to their enemy doorstep, fanyeni na nyie kujaribu.
 
Back
Top Bottom