Itakua tourists wanapandishwa wanashukia tsavo wanazunguka alafu jioni wanapanda train wanarudi Mombasa kwa beachSasa pia Railway towns zianzishwe so that just in case you wanna alight somewhere in the middle of the safari na ujienjoy unaweza kufanya hivo....
2 passenger
4 freight
32 coaches
Aaaaaaaaaah! Kawaida sanaaaNairobi South Station
umeamka leo nini,Aaaaaaaaaah! Kawaida sanaaa
Truethose stations are top class
waaahTumo mbioni nchini Kenya
SGR UPDATES
__________________