Kenya: The Standard Gauge Railway Takes Shape

Kenya: The Standard Gauge Railway Takes Shape

Sasa pia Railway towns zianzishwe so that just in case you wanna alight somewhere in the middle of the safari na ujienjoy unaweza kufanya hivo....
Itakua tourists wanapandishwa wanashukia tsavo wanazunguka alafu jioni wanapanda train wanarudi Mombasa kwa beach
 
16195450_1427309467301765_4520740837382155017_n.jpg

2 passenger
4 freight
32 coaches
 
Safi sana wakenya hayo ndiyo maendeleo. Sisi sijui tutaanza Lin ila kwa mh raisi huyu lazima tutajenga tu za aina hiyo
 
Wakenya mpo juu sn kutokana na mipango walio jiwekea sisi Watanzania maneno mengi sn vitendo vidogo .

Ukwel utabaki kuwa ukwel wakenya wapo juu hizi ndio INFRASTRUCTURE zinazo hitajika ktk NCHI

KEEP IT UP WAKENYA sisi watanzania zakwetu ....ngojera nying.... tunaweza kutoana mapovi kwa vitu visizo na maan kama Udini ,siasa na karibu tutaanza ukabila tusuburi kidogo tu.
 
Hongereni Wakenya,mmethubutu na mmeweza natumai hapo mbeleni zitatumia umeme ili itumie nishati iliyobora....Kenyata amepata la kuongea kwenye kampeni zake hapo baadae.Mmesimamia kile mnacho kiamini hongereni sana
 
Back
Top Bottom