babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 14,478
- 18,341
Mchina at work,Bravooo
Baadae msije lia mahesabu ya marejesho
Baadae msije lia mahesabu ya marejesho
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
waltham naelewa tofauti kaka...Central line ndio inafanana na ya Kenya.
TAZARA ni SGR kama Kenyatta anajenga sasa hivi
waltham naelewa tofauti kaka...Central line ndio inafanana na ya Kenya.
TAZARA ni SGR kama Kenyatta anajenga sasa hivi
Malizia 'chini ya uongozi wa nyerere' kwa lugha nyepesi tamka hivi 'serikali ya awamu ya kwanza iliyoongozwa na nyerere ndo ilijenga reli'
Never underestimate the ignorance of Tanzanian contributors of JF, i thought it was common knowledge that there is no SGR in East Africa.
mmh!!!Wakenya mmechelewa sana sisi tunayo ya zaidi ya Kilomita 1,000 hiyo reli ya Kichina toka 70s.
Sasa tunakuja na kitu kipya kabisa, kipo njiani.
Tanzania has a cape gauge,Kenya's a standard gauge railway
Never underestimate the ignorance of Tanzanian contributors of JF, i thought it was common knowledge that there is no SGR in East Africa.
And never underestimate the "know everything" Kenyan altitude. One ignorant Tanzanian is the ignorance of all JF Tanzanians contributors.