Kenya: The Standard Gauge Railway Takes Shape

Tuonyeshe yenu modern.
Hii nadhani ndiyo sababu mkapata rail na train kama hizo, nyinyi mna angalia kama Tz hana basi. Try to be exposed, the world does not revolve around E.A only. Katika hili ata kama Tz ingekua haina mpango wa kujenga SGR nisinge thubutu kuisifia hiyo SGR yenu kwa costs mlizo incur. At this modern age what you have is inferior, this is a bitter truth but you just have to swallow it.
 
Hatuangalii Tz wana nini, Tz ndio wanaoangalia tuna nini - maboya kama wewe hivi. Sisemi haifai tuangalie Dunia Ina nini Bali ni ujinga kumcheka mwenzio aliye Na nyumba ya paa la nyasi wakati wewe mwenyewe huna nyumba. Cha pili tumewaambia humu SGR ya Kenya imetengenezwa kwa ajili ya kubeba mizigo. Dunia nzima treni za kubeba mizigo huwa hivo Wala sio hizo bullet train mnazojidanganya nazo na kama unajua treni yeyote duniani ya kubeba mizigo iliyo bullet train naomba unionyeshe. Hapa sisi tumekaa kimya tukingoja disappointment mtakayo kuwa nayo wakati treni zenu zitaletwa. Mimi huangalia hizo bullet train mnazotupostia humu hadi nacheka.
 
hongereni wenzetu kwa kupata serikali inayotanguliza maslahi ya taifa mbele.....na sisi mtuombeeni tupate serikali ya aina hyo au zaid ya hapo.
 
Nani anawacheka mbona humjiamini!! Au 20 members wa JF Kenyan segment ndyo una ona ni Tz nzima. Halafu wewe ume ongelea angle ya outside look ya train ya mizigo that is being shallow. Anyways wewe baki na mtazamo wako kwamba Kenya kuna SGR na TZ haina, have a nice day and enjoy a 120km/hr ride to Mombasa. One kenyan hater told me it goes at lower than that! One of these days i should visit Nai and prove this Kenyan hater wrong.
 
Did I respond to Tanzania? Nope, I responded to you because it's you who belittled it. Wacha kuingiza Watanzania wote Kwa siasa zako. I know many Tanzanians who love and appreciate our SGR and the fast rate at which it was implemented. One of them is musician Ray C and she made an effort to travel in it and was very impressed. I have Tanzanian friends who love it too so it's not the whole of Tanzania, it's just idiots like you.
There's no shallowness with me schooling you on how cargo trains look like considering you clearly have no idea on what they really are. I told you hard facts and if you think I'm wrong then prove me. Show me a single cargo train that's a bullet train. Like I said before, you guys are in for a big disappointment. I see many of you post light passenger trains here thinking that's what your government will buy for your SGR, lol.
 
Hahaa.. basi kama Ray C ame ikubali sina budi na mimi kuikubali. Ray C ni expatriate kwenye matters of rail transport and i know you gave her access to all your files and she did a thorough analysis. I rest my case you win Mr Night walker. Have a nice lunch, a plate of Githeri will do you good.
 
Hahahaha! ati expatriate kwenye rail! Yeye sii 'expatriate' but it's obvious she's more of an EXPERT than you. Meanwhile nangoja unipe bullet cargo train kama ile mtanunua ya SGR yenu.
 
Hahahaha! ati expatriate kwenye rail! Yeye sii 'expatriate' but it's obvious she's more of an EXPERT than you. Meanwhile nangoja unipe bullet cargo train kama ile mtanunua ya SGR yenu.
Expatriate πŸ˜› πŸ˜› jamaa amejaribu kututisha na kizungu ...kumbe ni bongolala tu
 
Expatriate [emoji14] [emoji14] jamaa amejaribu kututisha na kizungu ...kumbe ni bongolala tu
Nyie jamaa ni mafala sana!! Sasa Ray c uko kenya siyo kwao. Kama mtu yupo kwenye foreign land si anakua expatriate. Jaribuni kunifundisha Kikuyu ndiyo si kijui
 
Nyie jamaa ni mafala sana!! Sasa Ray c uko kenya siyo kwao. Kama mtu yupo kwenye foreign land si anakua expatriate. Jaribuni kunifundisha Kikuyu ndiyo si kijui
Anakua EXPATRIATE KWENYE RAIL. :lol:
 
Nyie jamaa ni mafala sana!! Sasa Ray c uko kenya siyo kwao. Kama mtu yupo kwenye foreign land si anakua expatriate. Jaribuni kunifundisha Kikuyu ndiyo si kijui
Expatriate ni mtu anaye ujuzi flani(Expat) but anafanya kazi nchi nyingine.. Expatriate is for people who work wengine ni tourist...
 
that thing travel at a speed less than 100km/h!
 
that thing travel at a speed less than 100km/h!

Kweli you are desperate Geza.... You are running left, right and centre trying to disparage projects that are working???? Show me a scratch of Bagamoyo Port..... Just a scratch on the ground and I will feed your dog for 2 years
 
U r having a cart pulled by donkey disguised as a SGR diesel engine. πŸ˜€πŸ˜›
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…