Eh, hii reli inagengwa kwa kasi sana, mwaka ukianza ilikua hakuna kitu. Hongera kwa hao wafanyikazi. Nimeona quote moja hapo kwa hizo pilars za bridge "Casual worker today, skilled labour tomorrow"....I like that.
I also like the fact that (excluding the journalists) In the pictures, you don't see that many Chinies,(Managers or workers) Kitambo ilikua project kama hizi, unaona managers wote ni wachina. Hao watu wahakikishe wameshika kila siri ya kujenga reli, so that next time tusiwe tunahitaji mtu yeyote kutoka nje
Anyway in other things, Ruto hapo juu bado anakaa kama hustler (If I came across him in the streets I wouldnt notice him), Uhuru, hicho kitambi kinakula nyama choma mob sana.(I heard he never eats his dinner withought nyama choma na ka mboga)