Kenya: Timu yenu imepigwa 5 huko

Hahahaha tumetafuta faraja. Wabongo bana.

Tuzime moto nyumba yetu kwanza. Sio tunaacha kukimbilia zima ya jirani.
 
Hehehe!! Nyuzi zingine mpaka unacheka tu, umenikumbusha kitambo nikiwa shuleni, ilikua nikipokea viboko sasa badala nitathmini kwanini nimepigwa na wapi pakuboresha, nilikua nakaa na kusubiri kwa hamu zamu ya rafiki au jirani wangu naye kupokea kibano, hiyo ilikua inanipa faraja sana.
 
Haya jumla wamekula 6-0 Mana wamepigwa Moja bila Tena .watanzania tumeshinda ugenini,manyang'au mkakimbie riadha Aya mambo mengine mtuachie .[emoji23][emoji23]
 
Haa Haa
Ndiyo Mpira Hayo Ni Matokeo Tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…