Kuwazuia Kenya wasijenge TAVETA international Airport - Holili ?????!!!!
Haluuu Viongozi wa Tanzania too late.
Kwanza anzeni kuboresha KIA kwanza. Wekeni vivutio ili ndege nyingi zitue. Tayari mmezidiwa kete na Jommo kenyatta airport na ndo maana wanajenga TAVETA airport.
hata kama mkiwazuia wasijenge TAVETA, bado biashara itabaki Jommo Kenyatta Airport Nairobi. Hivyo wanaweza kupanua Jomo kenyatta.
Kuwazuia wasijenge TAVETA bila kuboresha huduma za KIA ni sawa na Kutibu Malaria kwa Panadol.
Boresheni HUDUMA za KIA kwa njia zifuatazo.
-Kushusha landing tariffs
-Kushusha bei za mafuta ya ndege
-Kujenga double road/lanes KIA to Moshi/Arusha
-Kuboresha huduma za immigration
-kuboresha huduma za mizigo
Lowasa na wenzako leo ndio mnasikia kuhusu ujenzi huo?leo ndio mnamshtuka kuwa kia itakufa siyo?wakati Kamara aliposhauri juu kuangalia na kuboresha viwanja vyetu ukiwemo KIA ninyi hamkuwa kwenye system?au sasa hivi mnatafuta umaarufu ambao ulishatoweka?kenya airways wanafanya biashara kubwa sana nbi to mbs trip zisizopungua 6 kila siku na ndege zinajaa nauli zao nasikia siyo ghali sana.Hivi wakiomba njia ya nbi, kia, dar hadi mbs si mtawanyima?kwani mkiwapa tu shirika letu la ndege kirombo litakuwa mashakani.
dah hapo umenigusa sana mtu wangu ukizingatia nilikua pande za kili hv majuz tu, am sure kenya watatupiga bao la kisigino coz kutoka kia mpaka marangu ambayo ndio njia rahis kwa wapandaji wa mlima ni mbali sana bt kutnka hapo taveta ni karibu mno so lazima kenya watajenga na acommodation nyingi tu so watalii watalala kenya na tz wataingia kupanda mlima tu afta that wanarudi kenya then bado hujataja tourism company za kenya zitakazotoa magari kwa watalii hao kuwaleta tz ikibidi mpaka ngorongoro,tarangire n.k yan ni faida juu ya faida ila tumlaumu nani kama sio hii serikali yetu ya kipumbavu inayopiga wanafunz virungu vyuon kwa kudai elfu kumi ya matunzo bila kujua kuwa huu mlima wetu tu ukitumika ipasavyo unaweza kusomesha wanafunz hao kwa kuwapa elfu 20 achilia mbali hiyo 10 wanayodai! Juzi kati hapa nimetembelea ngorongoro crater kidogo wanajitahid but cna hakika kama kweli hakuna ufisadi wa wa hayo mapato wanayopata hata hvyo bado ubunifu zaidi unahitajika ili kuweza kuvuna mapato stahili kwa neema hizi tulizojaliwa na muumba!Tatizo la wakenya kujenga TAVETA Airport siyo challenge kwa serikali kuboresha uwanja wa ndege wa KIA tu. Wakenya wamefanya tathmini ya mambo mengi sana ambayo yatawaletea faida kubwa kutokana na biashara ya utalii hasa kwenye mlima wa Kilimanjaro. Wanataka waweze kupokea watalii wote watakaokuwa na nia ya kutembelea mlima Kilimanjaro, kwani wataweza kushukia hapo mpakani holili kwa urahisi na watatumia uwezo wao mkubwa walionao kutuzidi katika matangazo. Pia bila shaka watajenga Hotel za kimataifa zenye huduma bora kuliko za kwetu, hivyo wataweza kukaa na watalii mudawote na kuwaleta Tanzania kwaajili ya kupanda mlima na pindi wakishuka moja kwa moja wanaelekea kenya. Hii itatufanya tuambulie only park fee na kukosa mapato mengi kwenye mahoteli na biashara nyingine pia. Hivyo basi, serikali inabidi ifanye jitihada za kufanya maboresho makubwa katika uwanja wa ndege wa KIA kama ulivyopendekeza, tufanye jitihada kubwa zaidi za kujitangaza kiutalii ikiwemo mlima Kilimanjaro ambao wengi wakijua upo Kenya kutokana na wakenya kujitangaza sana, pia kufanyike kufanyike maboresho katika mahoteli yetu hasa katika huduma. Tusipokuwa makini tutashindwa kupata mapato na kubaki kulialia tu kwa uzembe wetu wa kutotaka kufikiria na kuona mbali.
Kuwazuia Kenya wasijenge TAVETA international Airport - Holili ?????!!!!
Haluuu Viongozi wa Tanzania too late.
Kwanza anzeni kuboresha KIA kwanza. Wekeni vivutio ili ndege nyingi zitue. Tayari mmezidiwa kete na Jommo kenyatta airport na ndo maana wanajenga TAVETA airport.
hata kama mkiwazuia wasijenge TAVETA, bado biashara itabaki Jommo Kenyatta Airport Nairobi. Hivyo wanaweza kupanua Jomo kenyatta.
Kuwazuia wasijenge TAVETA bila kuboresha huduma za KIA ni sawa na Kutibu Malaria kwa Panadol.
Boresheni HUDUMA za KIA kwa njia zifuatazo.
-Kushusha landing tariffs
-Kushusha bei za mafuta ya ndege
-Kujenga double road/lanes KIA to Moshi/Arusha
-Kuboresha huduma za immigration
-kuboresha huduma za mizigo
well done! tz onvyooooooooooooooooooooooooooo