hio ni njia ya wakenya Kutunyang'anya the ownership of Mt. Kilimanjaro yani wameona kutumia MaasaiMara game reserve haitoshi saivi wameona wajenge airport yao kabisa..!
itakuwa ni utangulizi ...mbona badala ya airport sasa inajengwa highway road from arusha to taveta......
ahaa so wanatumia kivuli cha EAC wajanja kweli ila niliskia sijui na sie tutajenga karibu na serengeti....itakuwa ni utangulizi ...