Kenya to build an International Airport at Taveta near KIA

Kenya to build an International Airport at Taveta near KIA

Na bado, kenya imeshanunua Tanzania yote, angalia na kiwanda cha maziwa cha tanzania, maziwa toka kenya ndio zinazouzwa. Baada ya kampuni ya kenya kukinunua. Labda aingie Lowassa, wakenya anawajua.
 
hio ni njia ya wakenya Kutunyang'anya the ownership of Mt. Kilimanjaro yani wameona kutumia MaasaiMara game reserve haitoshi saivi wameona wajenge airport yao kabisa..!
 
hio ni njia ya wakenya Kutunyang'anya the ownership of Mt. Kilimanjaro yani wameona kutumia MaasaiMara game reserve haitoshi saivi wameona wajenge airport yao kabisa..!

Wanatunyang'anya vipi???

Sisi tumekalia siasa tu. Hata wakijenga kiwanja chao karibu na mpaka wa somalia bado watalii wengi wanakuja Tanzania waneltwa na Kenya Airways na South african airways.

So lets face the reality. Wakenya wanaweza kutumia weakness yetu tanzania ya sisi kushindwa kutuulize huo mlima vizuri na wao kwao ni opportunity . japo mlima haumo nchini mwao wanajua nini wafanye nchini mwao.

Tujiulize sisi tuna tatizo gani ?
 
mbona badala ya airport sasa inajengwa highway road from arusha to taveta......
 
Back
Top Bottom