Venus Star
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 26,519
- 78,311
Swali gani umeuliza mwanangu.Tafadhali jibu swali langu.
Rwanda hivi karibuni watazindua kampuni ya kutengeneza simu, kenya tayari magari tunayatengeneza na hivi karibuni tutaanza kutumia nuclear energy. Je wenzangu watz what are yall constructing ambacho kitawafaidi?Swali gani umeuliza mwanangu.
1. Simu kila mtu anaweza kuunda katika karne hii. Wachina wapo kwaajili yako.Rwanda hivi karibuni watazindua kampuni ya kutengeneza simu, kenya tayari magari tunayatengeneza na hivi karibuni tutaanza kutumia nuclear energy. Je wenzangu watz what are yall constructing ambacho kitawafaidi?
Kama mwendazake?
[emoji102][emoji6]
Hawa wanatengeneza ungo......wataruka nazo hivi karibuni.Everything seems impossible until its done. Rwanda wanatengeneza simu, sisi huku tunatengeneza magari na hivi karibuni tutakuwa tukitumia nuclear energy. Je nyinyi?
Wewe umetengeza tayari? π π ππ€£ π€£ π€£mzee siku hizi kutengeneza simu siyo issue. Hata wewe na watoto wako mnaweza kutengeneza Nyumbani kwako. Wachina wapo kwaajili yako.
Tatizo soko, simu hizo utaziuza kwa nani!?
Kenya = Mobius Motors(gari made in KE)1. Simu kila mtu anaweza kuunda katika karne hii. Wachina wapo kwaajili yako.
2. Niambie magari gani made in Kenya!?
3. Mtaanza kutumia nuclear. Mzee nuclear mbona kila mtu anatumia!! Kumbe hujui!?
4. Umesahau juzi juzi Rais wetu alikuwa Kenya amesain mkata wa kujenga bombs la gas from Dar to mombassa. Je, hizo siyo pesa!?
KUA MWANANGU UWE NA MACHO UONE.