Kenya to develop nuclear energy

Kenya to develop nuclear energy

Swali gani umeuliza mwanangu.
Rwanda hivi karibuni watazindua kampuni ya kutengeneza simu, kenya tayari magari tunayatengeneza na hivi karibuni tutaanza kutumia nuclear energy. Je wenzangu watz what are yall constructing ambacho kitawafaidi?
 
1. Simu kila mtu anaweza kuunda katika karne hii. Wachina wapo kwaajili yako.

2. Niambie magari gani made in Kenya!?

3. Mtaanza kutumia nuclear. Mzee nuclear mbona kila mtu anatumia!! Kumbe hujui!?

4. Umesahau juzi juzi Rais wetu alikuwa Kenya amesain mkata wa kujenga bombs la gas from Dar to mombassa. Je, hizo siyo pesa!?

KUA MWANANGU UWE NA MACHO UONE.
 
Everything seems impossible until its done. Rwanda wanatengeneza simu, sisi huku tunatengeneza magari na hivi karibuni tutakuwa tukitumia nuclear energy. Je nyinyi?
Hawa wanatengeneza ungo......wataruka nazo hivi karibuni.
 
🤣 🤣 🤣mzee siku hizi kutengeneza simu siyo issue. Hata wewe na watoto wako mnaweza kutengeneza Nyumbani kwako. Wachina wapo kwaajili yako.

Tatizo soko, simu hizo utaziuza kwa nani!?
Wewe umetengeza tayari? 😂 😂 😂
 
1. Simu kila mtu anaweza kuunda katika karne hii. Wachina wapo kwaajili yako.

2. Niambie magari gani made in Kenya!?

3. Mtaanza kutumia nuclear. Mzee nuclear mbona kila mtu anatumia!! Kumbe hujui!?

4. Umesahau juzi juzi Rais wetu alikuwa Kenya amesain mkata wa kujenga bombs la gas from Dar to mombassa. Je, hizo siyo pesa!?

KUA MWANANGU UWE NA MACHO UONE.
Kenya = Mobius Motors(gari made in KE)
Nionyeshe yenu pia!
Alafu hiyo Nuclear, kila mtu anatumia eti? 😂 😂 😂 Basi ata kama ni chai ya moto, itie sukari kiasi mami? 😂 😂 😂
 
Back
Top Bottom