Maskini bongo kumbe hata gas hakuna ni mvuke tu wawekezaji ndo wanafungasha virago. Ni bora tujikite kwenye agro industries tourism ufugaji na transportation tu maana ndo tuna comperative advantage
Ya bongolala ni magumu kama hiyo slum ya dar na je pipeline mnayowategemea Uganda imefikia wapi?? Si wahenga walisema mtegemea cha nduguye hufa masikini na njia mbili zilimshinda fisi on a sasa Exxon wamewatoroka.