Kenya to earn $1.2 Billion every year from oil

Kenya to earn $1.2 Billion every year from oil

Maskini bongo kumbe hata gas hakuna ni mvuke tu wawekezaji ndo wanafungasha virago. Ni bora tujikite kwenye agro industries tourism ufugaji na transportation tu maana ndo tuna comperative advantage
Wewe pambana na Kericho, ya Bongo waachie wabongo.
 
Mafuta ya mganda wanayangoja kwa hamu sana Wabongo lakini sioni yakipitia Tanzagizastan.
 
Wewe pambana na Kericho, ya Bongo waachie wabongo.
Ya bongolala ni magumu kama hiyo slum ya dar na je pipeline mnayowategemea Uganda imefikia wapi?? Si wahenga walisema mtegemea cha nduguye hufa masikini na njia mbili zilimshinda fisi on a sasa Exxon wamewatoroka.
 
Back
Top Bottom