Kenya to host forum on hunger next week

Naona sasa tumetoka kwenye masuala ya chakula, kwasababu Tz nayo pia ni jangwa kwa asilimia kubwa, na sasa tupo kwenye demokrasia. Haya basi, nimekubali, kwenye demokrasia mmetupiku. Vijana wa Lumumba buana! [emoji1]
 
Wewe umeonyesha kwamba mnatuzidi katika sector nyingi na umezitaja, sasa Mimi ninapita mulemule ulimosema wewe, ila mimi sipigi domo kama wewe. Evidences.
Tanzania: Manufacturing Sector Among Most Successful in Africa
 
hahahaha.... bila shaka katika hiyo forum the main subject itakuwa ni kenya yenyewe na wakenya maana wao ndio wahanga wa wakuu wa ukame na njaa.[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Instead of feeding your malnourished children you export those beans? Watoto wanakula mahindi,mihogo na uji mweupe. Hadi huruma
Wewe ni nyanyangu ninakuheshimu sana, ila ingekua ni mkenya mwengine ningesema huna akili. Malnutrition among children is a complex, especially katika nchi ambazo uchumi wake ni inclusive kama TZ. Wamama wengi wanashiriki katika shughuli za uchumi, hivyo kukosa muda wa kutosha kuwalisha watoto wao.
Hidden hunger: America’s growing malnutrition epidemic
 
Jamaa mbishi sana. Mbona Kenya hakuna asilimia kubwa ya utapiamlo kama tz na mnasema hatuna chakula?
Kwasababu wamama wengi wa Kenya, hata wababa wengi ni jobless, muda mwingi wapo nyumbani wakilisha watoto wao[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji123]
 
Some of the people running this Forum's threads are super illiterate. Sasa hio heading inaingianaje na body.
Kama hujui kitu heri ujinyamazie. Don't let inferiority complex blind you.
 
hahahaha.... bila shaka katika hiyo forum the main subject itakuwa ni kenya yenyewe na wakenya maana wao ndio wahanga wa wakuu wa ukame na njaa.[emoji23][emoji23][emoji23]
Umepata mlo mkuu?
There is no doubt that this joto la jiwe guy is a glutton. There is no day that passes without him mentioning food more than ten times in jf.
He is not a glutton but a hungry man fantasizing about His elusive meal.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…