Upuuzi mtupu, Tz sio nchi 'food secure', karibuni Nairobi, kwenye kongamano la kimataifa mjifunze mengi kama sisi. Msijilinganishe na nchi kama Kenya, ambayo asilimia kubwa ni jangwa, na bado tunawapiga bao na gap kila uchao. Kiuchumi, kielimu, kiafya na kwenye viashiria vyote vingine vya maendeleo, miundo mbinu, usambazaji wa umeme, 'internet connectivity',..... demokrasia n.k. Nyinyi endeleeni tu na propaganda na 'amani' yenu ya sisiemu.
https://www.reuters.com/article/tan...ngry-despites-government-denial-idUSL5N1GJ5CP [emoji115][emoji115][emoji115] Takwimu za kushangaza kuhusu njaa Tz, huku serikali ikifumba macho na kuwanyamazisha wanahabari.
https://www.twaweza.org/go/sauti-hunger-2017[emoji115][emoji115][emoji115] Utafiti mwingine pia kutoka kwa mashirika yenu,
twaweza, kuhusu njaa Tz.