Sasa mbona unatuambia fight corona first kana kwamba sisi hatuko in the fight kwa hio nyanja, Si unajua hata corona ikiisha bado tutakua na Alshabaab, alafu haya mambo ya zana za kivita hua yanachukua mda mrefu sana, utakuta hizi ndege zitafika kenya mwaka ujao, tuki order sahii,
Kwa mfano ile order ya light attack and reconnainace helicopter kumi na mbili za md530F kutoka marekani ilichukua miaka mitatu, tena walileta ndege sita pekee, sita zengine zitafika mwanzo wa 2021... KWahivyo tutarajie hizo Cesna tatu tutazipata labda 2021 wakianza kuzitengeneza sahii, na kwavile kuna janga la corona zinaweza zikachelewa kufika
Order ya MD530F ilifanywa May 2017, ndege sita za kwanza tulizipata Jan 2020
Media/Public Contact:
pm-cpa@state.gov
Transmittal No:
17-07
WASHINGTON, May 2, 2017 - The State Department has made a determination approving a possible Foreign Military Sale to Kenya for MD 530 aircraft. The estimated cost is $253 million. The Defense Security Cooperation Agency delivered the required certification notifying Congress of this possible sale on May 1, 2017.
The Government of Kenya has requested a possible sale of twelve (12) MD 530F weaponized aircraft to include twenty-four (24) Heavy Machine Gun Pod (HMP) 400 systems; wenty-four (24) M260 rocket launchers; four thousand and thirty-two (4,032) M151 rockets; one thousand five hundred and thirty-six (1,536) 2.75-inch M274 smoke signature warhead rockets; and four hundred thousand (400,000) rounds of .50 caliber ammunition. Also included are communications and navigation equipment, contractor logistics support, training, U.S. Government technical assistance, airframe and weapon system spare parts support, Contractor Field Service Representative (CFSR) support, and Special Assigned Airlift Mission (SAAM) flight delivery support. The total estimated cost is $253 million.
Kenya – MD 530 Aircraft | The Official Home of the Defense Security Cooperation Agency