Kenya to Sell Ports, Banks, Electricity Company etc. to China
The Kenyan government is getting ready to sell 26 companies to China, some of which are very key assets, in order to meet this year's budgets. While they say it is to help bring the government spending down, some of the companies for sale are major national assets and big money makers.. I smell a rat...from china!
Hawa jirani zetu tatizo wana tambo zisizo na msingi.
Yaani dunia nzima wanajua hali yao ni mbaya kwenye swala la deni la taifa na wako kwenye hati hati ya kupandishiwa kodi anatokea mbuzi mwingine anakwambia 'Kenya Shilling is Getting Stronger'
Bangi kwenu ni rahisi kiasi hicho mpaka wewe unavuta, So you are getting stronger ila mnauza kampuni zenu? Na ule mradi wenu wa reli ni janga jingine mpaka sasa hivi unaendeshwa kwa ruzuku haujiendeshi wenyewe.$1 = Ksh 101
$1 = Tsh 2,290
Kojoa ulale.
Bangi kwenu ni rahisi kiasi hicho mpaka wewe unavuta, So you are getting stronger ila mnauza kampuni zenu? Na ule mradi wenu wa reli ni janga jingine mpaka sasa hivi unaendeshwa kwa ruzuku haujiendeshi wenyewe.

Umelialia sana...dua la kuku hiloHawa jirani zetu tatizo wana tambo zisizo na msingi.
Yaani dunia nzima wanajua hali yao ni mbaya kwenye swala la deni la taifa na wako kwenye hati hati ya kupandishiwa kodi anatokea mbuzi mwingine anakwambia 'Kenya Shilling is Getting Stronger'
By the way, ni nchi LDC tu kama Tanzania unapopata kila kitu kinaendeshwa na serikali.
Nchi zilizo endelea kama US, Japan, UK etc, zilifanya privatization ya karibu kila kitu.
Airlines, Trains, garbage, Airports, electricity, ports etc.. zote ziko in private hands, for profit.
Na ndio maana things run efficiently in those countries.
Isikushangaze kwamba the famous Heathrow Airport is privately owned.
Hhhhh,!!tuna privatise..hhhh!!jamaa kaandika selling tu china ili afurahishe wenzakeUnaelewa maana ya privatization wewe?
We have been privatizing government companies since the 1980s.
In fact, the 26 being privatized now have been delayed since Kibaki's regime.
Kazi ya serikali ni kuokota ushuru kutoka makampuni, sio kuendesha hayo makampuni.
Ukiangalia profit, hayo makampuni yote 26 yaliachwa nyuma na makampuni binafsi. Majority sasa hivi ni loss making.
Wajinga sana hii mijitu, acha isote waya walahiHawa jirani zetu tatizo wana tambo zisizo na msingi.
Yaani dunia nzima wanajua hali yao ni mbaya kwenye swala la deni la taifa na wako kwenye hati hati ya kupandishiwa kodi anatokea mbuzi mwingine anakwambia 'Kenya Shilling is Getting Stronger'
Unaelewa maana ya privatization wewe?
We have been privatizing government companies since the 1980s.
In fact, the 26 being privatized now have been delayed since Kibaki's regime.
Kazi ya serikali ni kuokota ushuru kutoka makampuni, sio kuendesha hayo makampuni.
Ukiangalia profit, hayo makampuni yote 26 yaliachwa nyuma na makampuni binafsi. Majority sasa hivi ni loss making.
Toa makaratasi kichwani weka ubongo. kwani wakati Structural Adjustment Programme inaletwa huku Afrika kigezo kimojawapo ili nchi ikubaliwe kukopa si ilikua privatization iruhusiwe na serikali iruhusu laissez faire.By the way, ni nchi LDC tu kama Tanzania unapopata kila kitu kinaendeshwa na serikali.
Nchi zilizo endelea kama US, Japan, UK etc, zilifanya privatization ya karibu kila kitu.
Airlines, Trains, garbage, Airports, electricity, ports etc.. zote ziko in private hands, for profit.
Na ndio maana things run efficiently in those countries.
Isikushangaze kwamba the famous Heathrow Airport is privately owned.
Jipe moyo siku utakapotakiwa ujue kichina kwakua ndiyo itakua lugha ya taifa mi nitakua hapa naangalia.Hhhhh,!!tuna privatise..hhhh!!jamaa kaandika selling tu china ili afurahishe wenzake
Toa makaratasi kichwani weka ubongo. kwani wakati Structural Adjustment Programme inaletwa huku Afrika kigezo kimojawapo ili nchi ikubaliwe kukopa si ilikua privatization iruhusiwe na serikali iruhusu laissez faire.
Sasa kama tulifit kwenye SAP serikali inawezaje kumiliki uchumi?
1$ = 1035 Korean Won$1 = Ksh 101
$1 = Tsh 2,290
Kojoa ulale.
Kwa sasa$1 = Ksh 101
$1 = Tsh 2,290
Kojoa ulale.
Nigga you are fool of shit
Privatization imelazimishwa Afrika kinguvu na IMF.
Kwa model ya uchumi ya nchi yenu Serikali haikutakiwa kumiliki hizo kampuni from the start, So kusema kwamba hizo kampuni zinauzwa kisa hasara hapana, zinauzwa ili kukabiliana na deni.
Kama sababu ya kuuza hizo kampuni ni kwavile zinatia hasara mbona reli hamuuzi?
Are you the person on that video?
You need to see a brain doctor ASAP.
1. No where has it been said that they are being sold to China. Anyone with the money can buy them.
2. I don't know whether you've ever heard of the word 'privatization'. It is done by government world over.
Sawa.Shinda hapo.
You're making no sense.
Kenya yasonga mbele. Makampuni binafsi yanaendeshwa vizuri kuliko ya serikali. More profit, more contribution to the GDP.