Mods tumevamiwa π²π²
Usipost hizo vitu hapa tafadhali, hapa ni pahali patakatifu
Uchumi haupimwi kwa exchange rate...hahahaha$1 = Ksh 101
$1 = Tsh 2,290
Kojoa ulale.
Pambavu wewe, Mimi nilitaka kuprove you wrong kwamba Tanzania population below poverty line is not 60% kama unavyoleta screen shots zako zisizo na tarehe wala kujulikana source yake.
From today on you must know that, according to WB data of 2015, Tanzanians population below poverty line is 28%, the lowest in EA. Ni jukumu lako kutafuta za nchi zingine za EA kama huamini, make Google your partner, punguza uvivu kila kitu utafuniwe, watakutafuna watu, be careful.
Umetoka shimo gani wewe? Respect this section.
Mimi ninatumia ripoti ya WB vigezo wanavyotumia, sasa wewe tumia vile upendavyo. According to WB criteria is 28%.Poverty line ni $1 a day.
Kuna ingine ya less than $1.9 a day. Hapo ndipo Tanzania 60% iko.
Usije sema watanzania ni manabii pale utakapo ona mchina kamilikishwa wenzio walituita manabii kuusu bomba la mafuta ya UgandaHhhhh,!!tuna privatise..hhhh!!jamaa kaandika selling tu china ili afurahishe wenzake
Usije sema watanzania ni manabii pale utakapo ona mchina kamilikishwa wenzio walituita manabii kuusu bomba la mafuta ya Uganda
Ukweli ni kwamba 80% ya ubinafsi shaji wenu utakwenda China