joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Kwa hiyo uliposema 3% ulitumia naysayers, uliposema wafanyabiashara wanakimbilia Dar port ulitumia naysayers, Kenya wana middle class kubwa ni naysayers. Kwasababu huko kote unashindwa kuthibitisha, sasa unabadilisha goal post tena.Wenzako hapa hapa JF ndio walileta hizo statistics.
Lakini ukweli uliodhibitishwa ni kwamba Afrika mzima, Tanzania iko number 3 kwa population inayo ishi kwenye extreme poverty. Nyuma ya Nigeria na Ethiopia.
According to USAID, UNICEF na wengineo, over 60% ya population yenu inaishi below the poverty line.
Hapa Kenya, only 40% live below the poverty line.
Hata mtu haelewi hesabu anaweza ona uwongo wa hii TBS yenu.
Ni employment gani hii mnayo, ambayo bado watu wanaishi umaskinini?
Kama nilivyokwambia, more Kenyans earn a livable income than Tanzanians. Lakini hapa hatuhesabu wauza njugu kama 'employed'.
Nimekupa ushahidi wa Africa, kwamba TBS is second, next to South Africa, challenge its credibility kwa kuonyesha wapi ilitoa taarifa zinazopingana na international statistics na ukweli on the ground. Point iliyopo ni effect ya private sector vs public sector, kwamba Tanzania inafaidika kutokana na ajira nyingi zinazotengenezwa na public sector, that's why Tanzania unemployment rate is far low than Kenya.