baro
JF-Expert Member
- May 12, 2014
- 3,129
- 4,028
Tanzania ina jeshi imara Afrika na askari ambao ni very elite ,Hizo ndizo akili finyu mlizotumia wakati wa majimaji uprising. Etu kujimwagia maji kifuani kinakufanya uwe bulet proof. Wacheni ujinga, ndio maana Germans walitandika risasi sawasawa, lakini naona akili hiyo ya panga vs bunduki bado hazijawatoka.
Waulizeni ,renamo , makaburu na wengineo na sasa waulizeni M23
Hii ndio Tanzania




