Kenya to spend Ksh 17.5 billion on military arms

Hizo ndizo akili finyu mlizotumia wakati wa majimaji uprising. Etu kujimwagia maji kifuani kinakufanya uwe bulet proof. Wacheni ujinga, ndio maana Germans walitandika risasi sawasawa, lakini naona akili hiyo ya panga vs bunduki bado hazijawatoka.
Tanzania ina jeshi imara Afrika na askari ambao ni very elite ,

Waulizeni ,renamo , makaburu na wengineo na sasa waulizeni M23

Hii ndio Tanzania
 
Suicide bombers and Gorillar warfare to be countered using Tanks and artillery? Hahahaha even for a non millitary person this is mediocrity 😀
 
 
sasa mimi nashangaa..!! mbona wakitokea al shabaab wale wanamgambo wenye AK47 nyie kdf mnaanza kujambajamba..??
 
Tanzania spent nil on arms last year. Wajamaa endeleeni kulala 😀😀😀
[emoji23][emoji23] you don't have no idea.. Tz tume cut military expenditure ili kujenga viwanda vya kutengeneza silaha hapa hapa TZ, Magufuli hajapata PHD ya BURE.. He knows what he's doing
 
You guyz spent zero on defense last year . Halafu mnasema jeshi yenu ni kali. Wacheni mchezo.
Hahah kweli nyie Kenya vichwa maji akiwalai tatizo lenu MPAkaa maadue wenu wanajua jeshi menu la kiurembo ,watto laini kuweni na siri sio rais adui kujua kwa kukuanzia ,,tz sis in kimya kimya alafu ingia kichwa kichwa muone shughuli take au kaulizeni m 23 watawaambia tz ikoje
 
Kivip mkuu ufafanuzi kidogo
 
Ila Wadanganyika, lazima tuwasifu Wakenya, they so bright, broadminded, thinking forward, don't leave anybody behind, equal share of riches and so forth, lazima tuige mfano wao..!
Mandera, Samburu, Busia, Garissa, Marsabit, Wajir, Tana River, West Pokot, Isiolo, Turkana watamsubiri Yesu!
10 Richest, 10 Poorest Counties in Kenya 10 Richest, 10 Poorest Counties in Kenya | Mwakilishi.com
 
Suicide bombers and Gorillar warfare to be countered using Tanks and artillery? Hahahaha even for a non millitary person this is mediocrity 😀
Keeping quiet when you don't know something is more wise than opening your mouth and looking like a fool!

In open spaces,You move slowly behind the tank to avoid being taken out by snipers one at at a time. A military tactic that has been used since WW2 and still taught to recruites today .... That is how conventional forces advance towards enemy in an open space
 
This is the level of propaganda that Jubilee has fed your brain? They have convinced you that the war with alshabab looks like this and is being fought like below? 😀😀
I rest my case!
 

Attachments

  • download-2.jpg
    26.7 KB · Views: 26
  • download-3.jpg
    26.7 KB · Views: 27
Nimeupenda uzi huu. Wavunja matofali na wavaa 'gumboot', kwetu wanayaita 'makofokofo', wamecatch mafeelings kupindukia. Wallahi! [emoji38][emoji38][emoji38]
 
Kuna mjinga fulani amesema eti wakiwa na panga wanaweza kumaliza watu wenye ak47. Hapo ndio nilijua majimaji uprising could only happen in Tanzania.
 
Kuna mjinga fulani amesema eti wakiwa na panga wanaweza kumaliza watu wenye ak47. Hapo ndio nilijua majimaji uprising could only happen in Tanzania.
Nakwambia walifyekwa kama wale Vietcong kwenye zile movie za Rambo. Waliingia vitani vifua wazi, eti wamenyunyuziwa maji bullet proof! 😀
 
alaf mwisho wa siku ni hvi au sio wajameni
 
Ni mwaka Jana tu ndo mlinunua radar yenu, kabla hapo radar yenu mlikua mnatumia ya Kenya Ambayo ilikua inaona Tz Nzima ...leo hii ndo unarusha mdomo?
ndio tushanunua tena nne kwa mpigo😀😀😀
tena cash hakuna loan my friend 30million usd
 
Nakwambia walifyekwa kama wale Vietcong kwenye zile movie za Rambo. Waliingia vitani vifua wazi, eti wamenyunyuziwa maji bullet proof! 😀
Hahaha eti bullet proof. Ndio walijua risasi sio peremende
 
Nyie endeleeni kununua tu, ikifika 2021 vifaa vya jeshi vyote mtanunua kutoka Tz..

Chinese na wataalam wengine wanasaidiana na jeshi letu kuanza kutengeneza vifaa hapahapa kwetu.. Magufuli sio MTU wa mchezo mchezo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…