MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
Hivi nyinyi mnavyojipendekeza kwa wazungu hamjui namna gani mnaidhalilisha Afrika isitoshe hata wao wamewachoka ndio maana wakamtosa mgombea wenu wa WTO
Wacheni uzembe muage umaskini, kainchi ketu kadogo ila kanawazidi mara mbili kiuchumi, wavivu nyie....