Kenya Tops Angola as Sub-Saharan Africa’s No. 3 Economy

Bora Upande ili mpunguze kukopa..maana mnatia aibu Africa mashariki na kusini mwa africa
 
Yenu ni 99. Yao ni ngapi?
Sijui yao ni ngapi kwa dola moja ila ya Kenya ilikuwa 107 kwa dola moja the last time i checked. Imf yenyewe ndio imesema kuwa value ya pesa ya angola inayoitwa Kwacha iliporomoka vibaya sana mwaka uliopita. Unaweza kutafuta hio report ya Imf mtandaoni. Ila kuna hii tweet ya Bloomberg

<blockquote class="twitter-tweet"><p lang="in" dir="ltr">Kenya surpasses Angola as sub-Saharan Africa’s third-largest economy <a href="Bloomberg - Are you a robot?">Bloomberg - Are you a robot?</a></p>&mdash; Bloomberg Africa (@BBGAfrica) <a href="">June 5, 2020</a></blockquote> <script async src="https://platform.twitter.com/widgets.js" charset="utf-8"></script>
 
Hongereni sana majirani kwa habari hii.

Angola bei ya mafuta imeshuka na uchumi wao kusinyaa ndio maana mmewapita. Sasa nyinyi majirani mlikuza uchumi wenu kwa shughuli gani hadi ku-cover hilo gap?
Sisi thamani ya shilingi yetu haijashuka sana dhidi ya dola kwa sababu hatutegemei kuuza mafuta ili kupata pesa. Sisi ni Wakulima tu na pia tuna service sector kubwa sana yaani mabenki, telecomm industry, Ict industry. Yaani mambo ya services tuko sawa. Hatujategemea kitu kimoja kama wao. Uchumi wa Nigeria pia utaporomoka kwa sababu wanategemea mafuta tu ilhali bei ya mafuta imeporomoka. Natumai nimeelezea vizuri. Tanzania munategemea sector nyingi tu kwa hivyo hamna shida kama nchi zinazotegemea mafuta tu
 
Twende taratibu jirani, Hakuna figure za kuonesha kwamba kilimo na hizo service zimekuwa kwa asilimia ngapi na Angola imeshuka kwa asilimia ngapi? Maana gap ilikuwa USD30billion..

So mkuu inabidi useme kilimo kimekua kwa kuongeza USD dolar ngapi? Maana tunajua area ya kulima au mazao ni yale yale. Halafu mkuu nipe mchanganuo hiyo ICT imewaongezea kiasi gani hapo kenya maana mchango wake sijauona.
 
Yaani uchumi wetu haujaongezeka kwa kiasi kikubwa, uko pale pale. Uchumi wetu unakuwa kwa mwendo wa wastani takriban 5% kila mwaka. Sasa tukirudi kwa Angola, kucalculate mambo ya Gdp (nominal) lazima tubadilishe sarafu ya nchi husika into dollars. Sasa tatizo ni kuwa ikiwa thamani ya pesa ya nchi fulani itapungua dhidi ya dola basi Gdp ya nchi hio lazima itapungua. Kwa hivyo Gdp ya Kenya haijaongezeka na wala haijaporomoka, kilichofanyika ni kuwa Gdp ya Angola ndio imeporomoka kwa sababu bei ya mafuta nayo imeporomoka. Ni kama Kenya na Angola zilikuwa mbioni na Angola ilikuwa mbele yetu lakini Angola ikapata matatizo ya kiafya na ikaanza kutembea badala ya kukimbia huku Kenya ikikimbia kwa mwendo wake wa kawaida na kuipita Angola.

Guus
 
Sisi thamani ya shilingi yetu haijashuka sana dhidi ya dola kwa sababu hatutegemei kuuza mafuta ili kupata pesa. Sisi ni Wakulima tu na pia tuna service sector kubwa sana yaani mabenki, telecomm industry, Ict industry. Yaani mambo ya services tuko sawa. Hatujategemea kitu kimoja kama wao. Uchumi wa Nigeria pia utaporomoka kwa sababu wanategemea mafuta tu ilhali bei ya mafuta imeporomoka. Natumai nimeelezea vizuri. Tanzania munategemea sector nyingi tu kwa hivyo hamna shida kama nchi zinazotegemea mafuta tu
Leo umeandika kwa weledi sana
 
After $2 bln of IMF Rapid Credit facility and WB loans!
 
Sasa Tony bei ya mafuta imeshuka kipindi kipi? Si hichi kipindi cha #covid19 ambapo sana sana ni this year. Mbona sasa table inaonyesha since 2019 ambapo kipindi hicho bei ya mafuta ilikuwa haijaathirika bado
 
What happened to Angolan Kwanza sio bei ya mafuta kushuka bali ni kiasi cha mafuta wanaexport to bring in more dollars has decreased. Becaus they depend on oil export, their currency is being stabilized by the amount of oil they export.
 
Estimates...
IMF estimates...
Estimates hizi hizi zilizosema saa hizi maiti zitakua zimezagaa hakuna pa kutema mate?
Boss, kuna tofauti kubwa kati ya IMF(International Monetary Fund) na WHO(World Health Organisation). IMF huwa haijihusishi na masuala ya afya fani yao ni fedha na uchumi.
 
Sasa Tony bei ya mafuta imeshuka kipindi kipi? Si hichi kipindi cha #covid19 ambapo sana sana ni this year. Mbona sasa table inaonyesha since 2019 ambapo kipindi hicho bei ya mafuta ilikuwa haijaathirika bado
Ukitazama table Gdp ya Angola imekuwa ikianguka kuanzia 2016. Na ikumbukwe kuwa bei ya mafuta kabla ya 2016 ilikuwa around $80 per barrel, halafu kuanzia 2016 ikaanguka hadi around $25 per barrel. Mwisho wa 2016 ikaanza kupanda tena lakini haikuwahi kurudi hadi $80 per barrel, nadhani ilikwamia $50 - $60 per barrel. Nchi kama Angola ambayo mafuta yake mengi yako offshore na ni expensive kuextract ikaanza kupata matatizo ya kuziba budget deficit. Muda huu wa 2016- 2020,kuna kipindi Nigeria pia iliingia kwenye recession. Nchi za Africa zinazotegemea mafuta zimeumia sana kuanzia 2016 maana bei ya mafuta kushuka ilianza 2016 kisha ikapanda kidogo lakini haikupanda ya kutosha ili hizi nchi kupata mapato ya kutosha.
 
After $2 bln of IMF Rapid Credit facility and WB loans!
Sasa Geza usije tena siku nyingine kupimana urefu wa kisogo na Kenya. Sie kisogo yetu ni ndefu zaidi. Tafuteni rika yenu pengine akina Uganda mkacheze mieleka nao.
 
Acha dharau wewe, eti Uganda.If it's true then mnafaa mjue kuwa ni Angola ndo kawafanyia favor kwa uchumi wake kushuka.Sio kwamba uchumi wenu umeshoot high kama baadhi mnavyoamini.Ni kama mpo kwenye race halafu aliye mbele aanguke,wewe wapili utajiona mshindi ila jua unashindana na watu bado mbio hazijaisha!! So ni sisi na ninyi.
 
Tanzania bado sana.
 
Back
Top Bottom