Macho ndio huna ama?πππ
Let's get some facts.
Tanzania is twice the size of Kenya yet Kenya's road network is thrice the amount in Tanzania.
View attachment 1474940
Thanks for showing us Kenha updates for 2007. Do you know the meaning of KENHA by the way? And do you know their mandate?
Tanzania paved roads are only 6000km. Ya Kenya ndio hii hapa. Download the document kisha uende Page 208.Hahahah naomba unipe link ya hilo jedwali lako uliulopost hapo niifate hiyo habari mwenyewe nijisomee.
Kelele tu hapa kujimwambafayi na hamna kitu. kumbuka Tz tuko 13k paved road. While kunyans mko 9k
Kenya imewadouble hadi change ya barabara za Kenya ikabakiππKuna Mbongo, kipindi fulani nyuma, nusra tutoane macho humu JF kwa hili la barabara, sikumbuki alikua @tusan au nani.
Wao wakitumia Morogoro road hudhani ndio Tanzania yote.
Africa tuko down sana! Ni aibu tupu kiukweli.That 21,000km only represent 13% of our total roads. We still have a long way to go.
Uhuru ataondoka madarakani kama tayari tunaelekea 30,000km of paved roads. I just hope the next government will also prioritize road development.Na bado tunasumbuana na vinyangarika humu. Watoto wadogo waende wakae kule kwenye corner. Hatuna upinzani ukanda huu wa ziwa.
Tanzania paved roads are only 6000km. Ya Kenya ndio hii hapa. Download the document kisha uende Page 208.
ECONOMIC SURVEY 2020 - Kenya National Bureau of Statistics
Tanzania paved roads are only 6000km. Ya Kenya ndio hii hapa. Download the document kisha uende Page 208.
ECONOMIC SURVEY 2020 - Kenya National Bureau of Statistics
Hehehe I know their laziness. He won`t even download the document and that`s why I made it simple for them by screenshoting that section.Duh hivi unaanzaje kuambia Mtanzania asome lidokument lote hilo, hehehe eti nenda page 208 yaani hapo atajichokea na nakuhakikishia hata kwa dawa hakuna atakayejituma kiasi hicho.
Duh hivi unaanzaje kuambia Mtanzania asome lidokument lote hilo, hehehe eti nenda page 208 yaani hapo atajichokea na nakuhakikishia hata kwa dawa hakuna atakayejituma kiasi hicho.
Nashukuru sana kwa hiyo document. Nitakaa nayo vizuri na nitaitumia kuwachapa haswa.
Halafu hakuna huo upuuzi wa Kilometre za paved road. Bado mko ligi ndogo ni maneno tu.
Kunyaland 9k paved road while Tanzania 13km paved road.