Kenya total paved roads hit 21,000km in 2019

Kenya total paved roads hit 21,000km in 2019

Hongera mumejaribu. Ila mnafaa kukaza kamba zaidi ili muweze kufikia vijiji vyote kwa barabara ya lami.
Vijiji vyote iyo itakua 2050 uko...Bado kuna kazi Ya kuunganisha wilaya nyingi,Baadhi ya mikoa ya west ndio wanapambana kuunganisha sasa hv...Nchi Hii kubwa kweli...mipango iliopo 2020-2025 Ni kujenga 6006KM hii itaweza kua chachu zaidi...
 
Hongera mumejaribu. Ila mnafaa kukaza kamba zaidi ili muweze kufikia vijiji vyote kwa barabara ya lami.
Ninyi mtaunganisha lini?

2590273_IMG_20201015_093737_311.jpg
 
Back
Top Bottom