Tony254 JF-Expert Member Joined May 11, 2017 Posts 16,017 Reaction score 16,431 Apr 25, 2021 #101 tuusan said: Zimefika 13k, Sema bado sana Tunatakiwa kukazana kila wilaya kwenye majiji kila mtaa na kwenye manispaa kila tarafa ziwe mkekaView attachment 1763961 Click to expand... Hongera mumejaribu. Ila mnafaa kukaza kamba zaidi ili muweze kufikia vijiji vyote kwa barabara ya lami.
tuusan said: Zimefika 13k, Sema bado sana Tunatakiwa kukazana kila wilaya kwenye majiji kila mtaa na kwenye manispaa kila tarafa ziwe mkekaView attachment 1763961 Click to expand... Hongera mumejaribu. Ila mnafaa kukaza kamba zaidi ili muweze kufikia vijiji vyote kwa barabara ya lami.
tuusan JF-Expert Member Joined Jun 30, 2016 Posts 17,972 Reaction score 20,221 Apr 25, 2021 #102 Tony254 said: Hongera mumejaribu. Ila mnafaa kukaza kamba zaidi ili muweze kufikia vijiji vyote kwa barabara ya lami. Click to expand... Vijiji vyote iyo itakua 2050 uko...Bado kuna kazi Ya kuunganisha wilaya nyingi,Baadhi ya mikoa ya west ndio wanapambana kuunganisha sasa hv...Nchi Hii kubwa kweli...mipango iliopo 2020-2025 Ni kujenga 6006KM hii itaweza kua chachu zaidi...
Tony254 said: Hongera mumejaribu. Ila mnafaa kukaza kamba zaidi ili muweze kufikia vijiji vyote kwa barabara ya lami. Click to expand... Vijiji vyote iyo itakua 2050 uko...Bado kuna kazi Ya kuunganisha wilaya nyingi,Baadhi ya mikoa ya west ndio wanapambana kuunganisha sasa hv...Nchi Hii kubwa kweli...mipango iliopo 2020-2025 Ni kujenga 6006KM hii itaweza kua chachu zaidi...
Naton Jr JF-Expert Member Joined Oct 5, 2016 Posts 7,867 Reaction score 19,250 Apr 25, 2021 #103 Tony254 said: Hongera mumejaribu. Ila mnafaa kukaza kamba zaidi ili muweze kufikia vijiji vyote kwa barabara ya lami. Click to expand... Ninyi mtaunganisha lini?
Tony254 said: Hongera mumejaribu. Ila mnafaa kukaza kamba zaidi ili muweze kufikia vijiji vyote kwa barabara ya lami. Click to expand... Ninyi mtaunganisha lini?
tuusan JF-Expert Member Joined Jun 30, 2016 Posts 17,972 Reaction score 20,221 Apr 25, 2021 #104 Naton Jr said: Ninyi mtaunganisha lini? View attachment 1764038 Click to expand... Bado sana hadi 2050 uko
Naton Jr said: Ninyi mtaunganisha lini? View attachment 1764038 Click to expand... Bado sana hadi 2050 uko