Ilete hyo drill tuion,hapa hatupigi soga
Kumbe unapiga soga tuTulikuwa na hustler Mt. Kenya tunawachora tu hao walevi na vi chopper vyao.
Eti kdf wanapiga drill samburu alafu jamaa eti ywasema walikua na rutto..
Unyangau huezani nao, nyangau hajisahau kihvo
EA nzima hakuna nchi inaiweza kenya sekta ya kucheza na ndege angani..Sasa unakataa nini kwamba kdf walikuwa na joint ops Samburu leo? jayden akiwa anashangaa chopper za hovyo pilot wanashindwa kufanya maneuver?...
Kwanini munabakwa na kukatwa mapanga na watoto sielewi,,,
EA nzima hakuna nchi inaiweza kenya sekta ya kucheza na ndege angani..
Alafu wewe kinwengo mmoja unakuja kujisifia upupu..
Si ulete hyo video watu waone uumbuke
Acha utani east afrika hakuna jeshi LA ovyo kama la Kenya?unakumbuka mlivyokabwa na alshabab?EA nzima hakuna nchi inaiweza kenya sekta ya kucheza na ndege angani..
Alafu wewe kinwengo mmoja unakuja kujisifia upupu..
Si ulete hyo video watu waone uumbuke
Jeshi linakatwa mapanga na watoto kule Congo,kubakwa na kutandikwa kule Mozambique utasema nini,,,UPDF ndio wanajua nani anabakwa pale busia...
Waambie al shabab km ni waume warudi katika ile miji yao kdf waliyoitekaAcha utani east afrika hakuna jeshi LA ovyo kama la Kenya?unakumbuka mlivyokabwa na alshabab?
Juzi wamepigwa na wale jamaa wa msumbiji alafu wakuu wa nchi wanapindisha pindishaJeshi linakatwa mapanga na watoto kule Congo,kubakwa na kutandikwa kule Mozambique utasema nini,,,
Hahaha!!tuletee lini ethiopia amedungua ndege ya kdf, pia unaweza ukaniletea video ya airforce wenu wakifanya mambo[emoji3]Hizo Ethiopia wanajifunzia shabaha kila siku au? Ni kweli mnajua kucheza nazo na kudondosha skrepa hizo.
Tafuta drill ya samburu leo uone mchezo wa kitoto wa kdf..wale kazi hawawezi ni kujichocha tu ndio maana wakaumbuka.
Wewe unaleta propaganda, mimi nakupa fact. Na kumaliza hii maneno leta source hapa kwamba JWTZ wamepigwa panga Congo au Msumbiji na mimi niteleta source UPDF wanavyotoboa mizinga hiyo na vile kdf walivua nguo na kuinama machakani baada ya kupigwa ambush na shababiz...leta source na mimi niweke source.Jeshi linakatwa mapanga na watoto kule Congo,kubakwa na kutandikwa kule Mozambique utasema nini,,,
Hahaha!!tuletee lini ethiopia amedungua ndege ya kdf, pia unaweza ukaniletea video ya airforce wenu wakifanya mambo[emoji3]
Kasome ripotiSasa hizo ndege za supplies zinazotunguliwa kila zikikatiza anga ya somalia huwa zinatunguliwa na nani?
Hyo source inayosema kdf waliingia mwituni bado ndio imesema alshabab waliuawa na hao hao kdf[emoji3][emoji3]Wewe unaleta propaganda, mimi nakupa fact. Na kumaliza hii maneno leta source hapa kwamba JWTZ wamepigwa panga Congo au Msumbiji na mimi niteleta source UPDF wanavyotoboa mizinga hiyo na vile kdf walivua nguo na kuinama machakani baada ya kupigwa ambush na shababiz...leta source na mimi niweke source.
Hyo source inayosema kdf waliingia mwituni bado ndio imesema alshabab waliuawa na hao hao kdf[emoji3][emoji3]
Labda ulete video tu
Hawa wanapata mafunzo kutoka kwa navy seals wa marekani. 2010 iliripotiwa Kenya inatengeneza kikosi kipya cha wanajeshi wa maji watakao itwa"Naval special warfare group 4" ambao watapata mafunzo kutoka Navy seal ya marekani na Royal marines wa UK.
Jina ndiyo imegeuzwa ikatiwa "Navy special operations squadron" ikiwa na utalaam sawiya na Kenya Army special operations regiment ambao walichukua mji wa kismayo kutoka kwa mikono ya al shabaab wakiwa wanajeshi 100 tu, huku wakisaidiwa na meli za Kenya navy iliyotupa makombora kutoka kwenye meli ikipiga mji huo.
Kwa hivyo akivaa t-shirt ya navy seal ni sawa kwa vile hao ndiyo wanawapea mafunzo na wamekuwa marafiki, mbona uchungu hivyo?
Punguza jazba, link zote mnazotuma humu nazijua, iweke tuone hapa km hakuna mahali haikusema kdf ndio wamewaua al shabab kuhusiana na hyo ishuTatizo lako bibie unarukia kila dick hapa as long ukishajua ni mtzed..hii nimempea assignment mwenzako hapo ila ulivyo na kimuhe muhe cha kuolewa na mbongo bhas unajikuta unaparamia tu watu. Hebu jifunze kubalance shobo kwanza..
BTW Kaka zako wameshakimbia uzi huu, hebu pita uki strip tukuthaminishe kama unafaa kuletwa south huku..
Jazba? Mimi nataka upunguze shobo humu angalau upate mume wa kibongo awapunguzie njaa huko kwenyu.. sasa tatizo lako unaleta ile domo domo ya gikuyuPunguza jazba, link zote mnazotuma humu nazijua, iweke tuone hapa km hakuna mahali haikusema kdf ndio wamewaua al tshabab kuhusiana na hyo ishu