Kenya toughens sea warfare team with more marine commandos

i) 2017: Jeshi la Tanzania walitoroka child soldiers wa Uganda waliowakata mapanga kule eastern DRC, majeshi 20 wakafaa. Magufuli akapiga kelele mingi.

ii) 2018: majeshi wengine 15 wakavamiwa na hao watoto hapo DRC, 5 wakafa, 10 wakakimbia na kuacha kambi,, wengine UN inawatafuta mpaka sahi.

Hawa watoto ni wa Alliance Democratic Forces kutoka uganda ambao wamefanya TPDF kuwa wake wao hapo eastern DRC.

NB: somalia KDF inapigana na magaidi kutoka dunia mzima, wengine wamepigana vita za iraq, libya, syria na wamepata mafunzo kutoka kwa al-qaeda na isis i.e. tunapigana na wale wale mabao wamarekani na warusi wanapigana nao. TPDF wanapigwa na watoto wa miaka 12 ambao hata hawajapata mafunzo ya kivita.

Hawa ndiyo KDF wanapigana nao pamoja na mmarekani, muingereza na europe yote ndani ya somalia.
" Al-Shabaab's composition is multiethnic, with its leadership positions mainly occupied by Afghanistan- and Iraq-trained ethnic Somalis and foreigners "

https://www.cfr.org/backgrounder/al-shabab
Senior al-Shabab Foreign Fighter Defects in Somalia

Hawa ndiyo TPDF wanapigana nao hapo eastern DRC

https://www.icc-cpi.int/RelatedRecords/CR2017_04721.PDF
Magufuli 'shocked' by killings of Tanzanian soldiers in DRC

Kuzidisha nyinyi Tanzania ndiyo mumemukuwa wafadhili na wasambazaji wa ugaidi afrika mashariki mpaka mozambique

Militants in Mozambique could be Tanzanian

Mukijaribu kuokoa sura mkatuma majeshi yenu kule mozambique kwa mpaka, walipata kichapo cha mbwa kutoka kwa hao vijana wenyu mlio watuma huko mozambique.
Mupende jirani zenu sio kuhujumu azma yao ya kujenga gas fields kwa sababu watawapa competition.
 
Jazba? Mimi nataka upunguze shobo humu angalau upate mume wa kibongo awapunguzie njaa huko kwenyu.. sasa tatizo lako unaleta ile domo domo ya gikuyu
Hasira mbaya jamani[emoji23][emoji23]
 
Meanwhile ,Kenya Navy is constructing the largest slipway in Eastern Africa.The Shipyard will have a slipway that can handle vessels with a capacity of 4000 tonnes .
There are also two ship hangers,one of 150 metres long and 30 metres high and a smaller one of 120 metres long, 20 metres high and 13 metres wide.

You can get a hint as to the size of ships to be serviced at mtongwe Navy Base

Wengine walituma wanajeshi ndani ya dhow, ikalipuliwa huko mozambique.
 
One thing I love about KDF is they have the most educated professionals of any military in east africa.
i) Did you know Kenya airforce engineers currently manufacture their own spare parts for the F5-e tiger after authorization from boeing?
ii) Recent renovations on navy ships were handled by Kenya navy engineers corps.
iii) KDF manufactures their own bullets and even export to east africa
 
😁😁😁😁😁
Mengi huyajui kaa kimya
 
Hahaha naona unataka kuingiza watu mkenge hapa!.. pole huko hatuingii

Ila fahamu tu kwamba kwenye swala la ulinzi, usalama na mifumo yote ya kiteknolojia hamuwezi kutufikia. Hata skilled personnel wachana na what we produce. Hata your failed and disorganized "system" inajua hivyo.

Halafu huko Congo inatakiwa upime performance ya jeshi under fire, fatilia kikosi cha FIB huko.
 
Wacha kelele nyingi .
 
Haunanga point wewe.Just shut the https://jamii.app/JFUserGuide up
 
Haunanga point wewe.Just shut the **** up

Sitegemei kwa kasuku kama wewe kuona point yangu... tuko hapa kwa kazi moja tu: To unlearn all your stupidity which you have been feed by your failed and disorganized "system" . Na bahati nzuri tunaona matokeo chanya pole pole. Kazi inaendelea.
 
Low IQ moron.Brain reverse in function I don't blame u and ua country men though
 
I don't even think u have a brain ni kichwa tu umebeba unatumia kama kifuniko
 
Fool the slipways in Mwanza n Kigoma handle a ship of +4000 tonnes!
 
Low IQ moron.Brain reverse in function I don't blame u and ua country men though

Vipi bibie, mbona una hamaki hivyo? Umekopwa usiku kucha nini?..

I don't even think u have a brain ni kichwa tu umebeba unatumia kama kifuniko

Without unlearning your stupidity you won`t have a space in your brain to learn the facts and live with the reality.
 
Vipi bibie, mbona una hamaki hivyo? Umekopwa usiku kucha nini?..

Without unlearning your stupidity you won`t have a space in your brain to learn the facts and live with the reality.
Go argue with ua fellow class 2 dropouts io ndio level yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…