Kevin85ify
JF-Expert Member
- Apr 6, 2019
- 2,684
- 3,429
i) 2017: Jeshi la Tanzania walitoroka child soldiers wa Uganda waliowakata mapanga kule eastern DRC, majeshi 20 wakafaa. Magufuli akapiga kelele mingi.
ii) 2018: majeshi wengine 15 wakavamiwa na hao watoto hapo DRC, 5 wakafa, 10 wakakimbia na kuacha kambi,, wengine UN inawatafuta mpaka sahi.
Hawa watoto ni wa Alliance Democratic Forces kutoka uganda ambao wamefanya TPDF kuwa wake wao hapo eastern DRC.
NB: somalia KDF inapigana na magaidi kutoka dunia mzima, wengine wamepigana vita za iraq, libya, syria na wamepata mafunzo kutoka kwa al-qaeda na isis i.e. tunapigana na wale wale mabao wamarekani na warusi wanapigana nao. TPDF wanapigwa na watoto wa miaka 12 ambao hata hawajapata mafunzo ya kivita.
Hawa ndiyo KDF wanapigana nao pamoja na mmarekani, muingereza na europe yote ndani ya somalia.
" Al-Shabaab's composition is multiethnic, with its leadership positions mainly occupied by Afghanistan- and Iraq-trained ethnic Somalis and foreigners "
https://www.cfr.org/backgrounder/al-shabab
Senior al-Shabab Foreign Fighter Defects in Somalia
Hawa ndiyo TPDF wanapigana nao hapo eastern DRC
https://www.icc-cpi.int/RelatedRecords/CR2017_04721.PDF
Magufuli 'shocked' by killings of Tanzanian soldiers in DRC
Kuzidisha nyinyi Tanzania ndiyo mumemukuwa wafadhili na wasambazaji wa ugaidi afrika mashariki mpaka mozambique
Militants in Mozambique could be Tanzanian
Mukijaribu kuokoa sura mkatuma majeshi yenu kule mozambique kwa mpaka, walipata kichapo cha mbwa kutoka kwa hao vijana wenyu mlio watuma huko mozambique.
Mupende jirani zenu sio kuhujumu azma yao ya kujenga gas fields kwa sababu watawapa competition.

Tatizo lako bibie unarukia kila dick hapa as long ukishajua ni mtzed..hii nimempea assignment mwenzako hapo ila ulivyo na kimuhe muhe cha kuolewa na mbongo bhas unajikuta unaparamia tu watu. Hebu jifunze kubalance shobo kwanza..
BTW Kaka zako wameshakimbia uzi huu, hebu pita uki strip tukuthaminishe kama unafaa kuletwa south huku..