.............. Entry fee ipandishwe kutoka $200 ifike $500. Hiyo inaitwa discriminative pricing. Watalii uchwara wanaotaka kuja kwa vans waishie Maasai Mara.
............. No...hapana! Kwa sasa entry fee ipandishwe kutoka $200 ifike $500. No...watalii uchwara si muafaka!
Here is a simple solution to you Kenyan tour operators: mnapofanya arrangement ya kupokea hao wageni wenu ambao wanavuka kuja Tz, fanyeni mipango na tour operator wa Tanzania ili mnapofika mpakani wahudumiwe na watanzania na wakimaliza visit zao hapa Tz mnawapokea tena hapo mpakani kwenda huko kwenu. Hiyo itasaidia sana kuonyesha kuwa mna nia njema na Tanzania na watanzania wenyewe. Lakini kama mtang'ang'ania huo ulafi wa kutaka mpate mapato yote ninyi bila kushirikisha wenzenu, basi kuweni tayari kulipa hiyo fee wala masilalamike.
Njia nyingine mbadala ni kuanzisha sister tour operator company ambazo zitakuwa na makao Tz ambazo mtafanya nazo kazi kwa kufuata mfumo nilioueleza hapo juu.
Otherwise, lipeni tu hiyo fee muendelee na biashara zenu bila matatizo.
Sheria za Kenya zinaishia pale mpakani, ukivuka tu unakutana na sheria za Tanzania...🙂This is a lazy ideology…..you cannot just sit and wait for your brother to do all the donkey work for you then hand you the benefits when all is done; that's crazy!
This is a lazy ideology…..you cannot just sit and wait for your brother to do all the donkey work for you then hand you the benefits when all is done; that's crazy!
Kenya tour operators warn tanzania on unfairness
what do u mean by 'all the work'? unadhani hizo mbuga hatuzihudumii? au hatu-invest kuzitangaza? fyi tunatumia taxpayers money kutangaza hizo mbuga..na wala hatuna ubia nanyi kwa lolote, hivo if u don't like how we run things just go f<ck urselvesThis is a lazy ideology ..you cannot just sit and wait for your brother to do all the donkey work for you then hand you the benefits when all is done; thats crazy!
Tanzania is going digital. If NTV is looking for an analogue licence then nothing will happen. Citizen inapatikana through DSTV, can NTV do the same?
TOUR FIRMS in Kenya have
appealed to the Heads of State
Summit East African
Communitys top decision making
organ to intervene and resolve a
standoff between them and
Tanzania over a levy charged on
foreign tour vans crossing into the
country.
The tour firms said Tanzanias
insistence on charging foreign
vans was against the tenets of free
trade, which the EAC envisages.
According to Fred Kaigua, chief
cxecutive of the Kenya Association
of Tour Operators (KATO), Kenyan
tour vans are charged $200 to enter
Tanzania at all border crossings.
There is no such fee charged in
other EAC countries and this is
causing friction between the
Tanzanian authorities and tour
firms, said Mr Kaigua, adding that
Tanzanian officials maintain that
they were yet to receive orders
requiring them to withdraw the
charges.
However, Tanzania has insisted the
charges are important, and will
remain in force to protect its
fledging tourism sector, which it
says is not as developed as that of
Kenya.
Tanzania has indicated it needs
more time, at least up to 2015,
before it opens its market to EAC
partner states.
At an EAC meeting held in
Mombasa last month, a
representative from Tanzania said
there were some policies and
regulations that will remain in
force, unless a reversal order was
issued by higher authorities
Here is a simple solution to you Kenyan tour operators: mnapofanya arrangement ya kupokea hao wageni wenu ambao wanavuka kuja Tz, fanyeni mipango na tour operator wa Tanzania ili mnapofika mpakani wahudumiwe na watanzania na wakimaliza visit zao hapa Tz mnawapokea tena hapo mpakani kwenda huko kwenu. Hiyo itasaidia sana kuonyesha kuwa mna nia njema na Tanzania na watanzania wenyewe. Lakini kama mtang'ang'ania huo ulafi wa kutaka mpate mapato yote ninyi bila kushirikisha wenzenu, basi kuweni tayari kulipa hiyo fee wala masilalamike.
Njia nyingine mbadala ni kuanzisha sister tour operator company ambazo zitakuwa na makao Tz ambazo mtafanya nazo kazi kwa kufuata mfumo nilioueleza hapo juu.
Otherwise, lipeni tu hiyo fee muendelee na biashara zenu bila matatizo.
Watanzania wangapi afford dstv? Watch NTV Uganda includes lots of local Uganda stuff. NTV Tanzania would certainly be welcome alternative to the mediocre TBC.
WARN? that is not a language you use to someone you would want to be a good neighbour!
FJM said:
Hivi unaelewa kitu kinachozungumziwa? digital migration/analogue switch off?🙂Watanzania wangapi afford dstv? Watch NTV Uganda includes lots of local Uganda stuff. NTV Tanzania would certainly be welcome alternative to the mediocre TBC.
Chalii hiyo hela mbona ndogo sana!!! halafu sisi huku tuna magari pia washuke wapande yetu acheni kutuuzia mbuzi kwenye gunia kwani huu umoja ni kukandamizana au kusaidiana? Halafu tunao wengi huku kwenye makampuni yetu tunawapangia muda wa kuwashughuulikia sema ni serikali legelege ndio maana wanaendelea ku-exist
Soma post yangu vizuri. Tanzania is switching off analogue 31/12/2012 to be precise. Na kama TBC ni mediocre ni jukumu la Kenya kuiborosha?
Pili, naamini unafahamu a thing or two about digital. NTV wanaweza kutangaza through the existing multiplexors arrangement. Na hata Kenya wako kwenye mpango wa ku-swith off analougue but it will take longer kwa sababu hizo licences (za analogue) zina maslahi ya wakubwa.