Sas simunajudai ati nyinyi ni High end tourist destinantion na mnataka only high end tourists like Bill Gates?
Sasa if you guys already served Bill gates, what else is there to catch up with Kenya? If you guys already deal with high end folks what else is there to develop? Kama you've already served Bill Gates with private butlers, sushi, Champaigne, Jacuzzi, High end Tented camp, driven him around in a Limo, flown him around in a private Jet and Helicopter what else is these to learn? This is a class one lesson, kwani you guys need upto 2015 to learn that?
2015 is not far away i'm pretty sure when 2015 arrives you guys will now claim that you are a Space End destination and that you only want Space based "Extraterrestrial" visitors, and that you need upto 2050 in order to develop and catch up with Kenya.
@beshte, Tanzania siyo kama inajidai ni high end tourist destination, IT IS a high end tourist destination. Hilo moja. Pili,Tanzania is one of the few countries in the world iliyotenga at least 25% ya sehemu kuwa hifadhi. Sio kazi ndogo, na sio kazi ya siku moja. You have to continously work hard to maintain it. Kenya na nchi yoyote wanaweza kuleta tourist, na wanafanya hivyo lakini ni vizuri nao wakachangia kuhifadhi maeneo husika.
$200 inaweza kuwa stupid or vise versa but one thing is for sure, kama kweli hifadhi za Tanzania si chochote wala chochote, Kenya wasingehangaika for a minute kuleta watalii Tanzania tena kwa gharama 'kubwa'. Wangewapeleka Masai mara na sehemu nyingine, give them a nice smile and kiss them goodbye. Lazima Tanzania ina kitu unique.
Masai Mara ni nzuri na tourists wengi wanatembelea. But Masai Mara is not Serengeti. Itakuchukuwa muda mrefu 'zaidi' ukiwa Masai Mara kuona wananyama hasa wale 'big five' kuliko ukiwa Serengeti. Na mara nyingi wanyama wa Masai Mara wamesogea sana, unachungulia kwa kuchungulia ili umuone simba etc etc.
Tunajua tourism ni biashara na tunajua kwamba kwenye hii biashara tunakata nini. Kwa mfano kama nataka $1000 na kama naweza kupata hizo $1000 toka kwa Bill Gates ceteris peribus, kwa nini nihangike na Mwajuma 100 watakaolipa $10 kila mmoja ili nifikie hiyo $1000. And worse hawa wakina Mwajuma wanakula mahindi ya kukaangaa, wanakunywa tusker chupa moja watu wawili , wanalala kwenye double decker beds maana hela ni mgogoro, wanapiga kelele... total nightamare!. Kwa nini nifanye hivyo wakati Bill Gates analipa $1000, atakunywa tusker chupa moja peke yake, hakuna mambo ya double decker maana money is no object?.
Hivi unaweza kuniambia kwanini BMW hashushi bei ikawa sawa na Toyota starlet? Hataki kuuza? In other words kwa nini mtalii aliyekuja Kenya atake kuja Tanzania? Hakuna mbuga Kenya? Au Mlima umefunikwa na moshi mweusi?