Kenya Trafiki wote nchi nzima wapangiwa majukumu mengine. Maamuzi magumu sana

Kenya Trafiki wote nchi nzima wapangiwa majukumu mengine. Maamuzi magumu sana

Zero corruptions barabarani inawezekana, Botswana 🇧🇼 wameweza hili, na good news Zambia 🇿🇲 wameondoa check points zote,wamebakisha za jeshi na zile zilizo karibu na borders, just imagine our own T1 unabakiwa na check points 3 tu!!,but kutoka Dar hadi Morogoro (200km),unakumbana na check points 40
 
Back
Top Bottom