Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi leo Chombo kizito zaidi Afrika kuwahi inuliwa (takriban kilo milioni tatu) kimeinuliwa huko Nigeria kwa kutumia kreni kubwa zaidi duniani. Dangote hataki masihara, yeye anachapa kazi tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Now He holds Nigeria by the balls.
Nigeria is an African UAE in the Making. But Kenya is the USA of Africa in the Making.
Mbona hii ya zamani?Hivi leo Chombo kizito zaidi Afrika kuwahi inuliwa (takriban kilo milioni tatu) kimeinuliwa huko Nigeria kwa kutumia kreni kubwa zaidi duniani. Dangote hataki masihara, yeye anachapa kazi tu.
How so?Nigeria is an African UAE in the Making. But Kenya is the USA of Africa in the Making.
Ya turkana yamewashinda kusafirisha kazi sasa nikulinganisha na walioko majuu tabu sanaLol
Are you comparising kenya with USA before 1300AD?
Kenya nchi ya posho na salary nono kwa ma MpsNigeria is an African UAE in the Making. But Kenya is the USA of Africa in the Making.
Acheni hasadi machalii mnataka mlipwe sawa na MpsKenya nchi ya posho na salary nono kwa ma Mps
Cha kukata chipsiNi chombo cha nini?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Cha kukata chipsi