Kenya tujifunze kutoka kwa Nigeria. Dangote Refinery inakaribia kukamilika.

Tony254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2017
Posts
16,017
Reaction score
16,431
Hivi leo Chombo kizito zaidi Afrika kuwahi inuliwa (takriban kilo milioni tatu) kimeinuliwa huko Nigeria kwa kutumia kreni kubwa zaidi duniani. Dangote hataki masihara, yeye anachapa kazi tu.
 
Wanaodharau waafrika, tazameni jambo mwafrika ametenda leo. Hiki kidude ni kizito sana.
 
Back
Top Bottom