Kenya tumeshika nafasi ya tatu kwa ufisadi duniani

Kenya tumeshika nafasi ya tatu kwa ufisadi duniani

Mnh! Hongereni wenzetu kwa ku-shine.... Yaani mpo Top 3 duniani!!!!
 
Haha...hawa wakenya uongouongo na ujanja mwingi..watasema ndio capitalism hiyo....mambo ya kuona fursa na kuzitumia.....vip huo utafiti watz uliwasahau nn..manake..mh....
 
Back
Top Bottom