Naby Keita
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 12,893
- 20,089
Huwezi kupoteza mda kumuelewa ng'ombe wa bandani kwako hapa kula fimbo tu ukitaka kueleweka nenda kwa ng'ombe wenzioAisei you people are several millimeter thick, yaani naona hata hukuelewa nilichokisema, bado unakurupuka kama zezeta fulani. Naomba usome nilichokisema, urudia mara kumi na kama bado hutokua umenielewa basi wewe hata kwa dawa hutopata msaada.
Taja nchi ya kiarabu yenye mafukara wengi kama Kenya . Nyie funza tu hamna chochote cha kujivunia zaidi ya kuleta mashauzi ya kike humu.Wewe una lugha gani, kama sio Waarabu kuja kuwafundisha nyie mijitu jinsi ya kuchamba hata hicho Kiswahili hamgekijua. Tatizo mliiga hata uzembe, uvivu na ubumbubu wa Waarabu.
but mimi mkenya na nawapenda warembo wa tanzania sanaaaa.. ........love them mimi ntamuoa mbongo.Mnafikiri wazungu hawakijui kilicho asili?....wengi wenyu humo tanganyika mnajichubua, meaning you are fake.
Kinachoangaliwa ni UASILIA WA MTU, UKUBWA WA AKILI...BONGO...BONGO..BONGO....
Hata nikimtazama dada huyu urefu na mpangilio wa mifupa (body frame)upo imara, wengi wenyu wabongo wafupi mithili ya MBILIKIMO WA KONGO, mikorogo,kujichubua,kichwani kweupe,wapi na wapi?
Kumbuka yule dada wa kinijeria aliyeshinda miss world zama zile...(AGBANI DAREGO)..tena alikua mweusi kama chokoleti vile, rangi tamu na adimu inayoashiria UAFRIKA.
Hongera zake dada wa kikenya, umeiwakilisha Afrika ulipofika hapo.
Unaogopa kuchapwa na mademu wa Nyeri.but mimi mkenya na nawapenda warembo wa tanzania sanaaaa.. ........love them mimi ntamuoa mbongo.
Miss Kenya 2016 DECLARED MISS AFRICAHongera sana kwa Miss Kenya,
Japo miss Tz Nancy Sumari did that.
To me honestly huwa sipendi hizo nywele za wahindi waliokufa, I love natural things, Hongera kwa miss Tz Diana Edward Lukumay.
View attachment 448444View attachment 448446View attachment 448447View attachment 448448View attachment 448449View attachment 448450
She is only 18, she Natural, Virgin, Pure, Innocent , polite, intelligent and I am sure she will reach very far,
Goodluck Diana. We love you!
Hongera sana kwa Miss Kenya,
Japo miss Tz Nancy Sumari did that.
To me honestly huwa sipendi hizo nywele za wahindi waliokufa, I love natural things, Hongera kwa miss Tz Diana Edward Lukumay.
View attachment 448444View attachment 448446View attachment 448447View attachment 448448View attachment 448449View attachment 448450
She is only 18, she Natural, Virgin, Pure, Innocent , polite, intelligent and I am sure she will reach very far,
Goodluck Diana. We love you!
nywele za waliowafu hapa basi kwa video ya diana wako!!!
huyu wa kawaida sana na sababu beauty is in the eyes of the beholder kama unafahamu huu msemo. nitafika kikomo nikisema kila nyani na mti wake hamna hukosa!!!This girl is beautiful but amekosa mastylist wa kumuweka poa Kama Huyo miss Kenya ....
Hata Huyo miss Kenya is just average lookin and being in top five of MW does not change anything coz she wasn't choosen only by her looks ..
Though yuko na bone structure poa
U see the true meaning of beauty
huyu wa kawaida sana na sababu beauty is in the eyes of the beholder kama unafahamu huu msemo. nitafika kikomo nikisema kila nyani na mti wake hamna hukosa!!!
Hehehe wanajijua haihitaji kusemayah kila mtu ana macho yake ila kwa uzuri wa huyu binti si wa kumuita wa kawaida sana na kama ni wa kawaida sana bhasi nahisi wakenya wote ni wazuri mithili ya malaika
hapo kaka umenena....kama si Kenya na Ethiopia sijui nani angekuwa anaiwakilisha eastafrica, wenzetu hua wako usingizi wa pono, kazi ni kulalama kila siku wakijiona bora, ilhali hakuna wanapo ipeperusha bendera ya Africa, sio kwa michezo, ubunifu wala chochote... bure kabisa.
wacha kubishana na idiot...he thinks EAC means East Africa...Ethiopia Somalia sudan Eritrea mpaka mozambique ni EA nyerere ndio aliwa chocha ni EAC pekee
Hehehe bana iseee hawa wetu wa nyeri ni wenda wazimu......wakiona unazo hela wanakumaliza..... Ata sio kichapo tu... Anakuitia majambazi.Unaogopa kuchapwa na mademu wa Nyeri.