Kenya tusiige hili la Tanzania kujifungia ndani na kujitenga na mataifa ya Afrika

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Tanzania inaendelea kufunga visa za kufikia 'visa on arrival' kwa mataifa ya Afrika, iliwabamiza Wanaijeria wakapiga makelele sana, sasa kwa mwendo huo huo imewafuata watu wa mataifa ya SADC kama Angola na DRC.
Hizi hatua za kujifungia ndani sijui mwisho wake, naomba Kenya tuendelee kufungua milango kwa Waafrika wetu, wawekezaji waje kabisa maana wageni siku zote hujituma sana hata kuliko wenyeji.
Bakongo njooni bandari ya Mombasa ipo tu.....
-------------------------------------

Tanzania this week announced the cancellation of visa-on-arrival for two more African nations, citing security concerns.
The decision by Dar es Salaam comes as Africa takes stock of its drive for open borders, with the Visa Openness Index 2018 showing that the majority of countries have made little progress in opening up their borders.
Citizens of the Democratic Republic of Congo and Angola, who are members of the Southern Africa Development Community, have been entering Tanzania visa-free, but the Dar es Salaam administration has revoked this privilege.
https://www.thecitizen.co.tz/News/T...ty-concerns/1840340-4888004-eaam8i/index.html
 
Kenya ni number 1 kwa kubaguana wenyewe kwa wenyewe, halafu hapa wanakuja kuubiri eti wao ndio wanapenda watu wa nje?

Mbona kenya msiwachukue wote hao wa kutoka congo, Angola, Nigeria na kadhalika ambao wamekatazwa kuingia Tz?
 
For security reasons ni muhimu.. Ni bora ukataze visa on arrival kuepusha majanga makubwa kwenye taifa... Kuruhusu ruhusu ovyo mwsho umepigwa bomu au mall yako imevamiwa kama Westgate
 
Kwani unafikiri mnaamua nyie...Akitokea kichaa mkampa nchi anawasaidia kufikiria wakenya wote.

Hili ni tatizo mtu kuwaza kwa ajili ya watu wengi.
 
For security reasons ni muhimu.. Ni bora ukataze visa on arrival kuepusha majanga makubwa kwenye taifa... Kuruhusu ruhusu ovyo mwsho umepigwa bomu au mall yako imevamiwa kama Westgate
It doesnt make any sense.

Kwani Tanzania ndiyo tunahitaji security kuliko nchi yoyote ile?

Nchi nyingi zina visa on arrival...
 
It doesnt make any sense.

Kwani Tanzania ndiyo tunahitaji security kuliko nchi yoyote ile?

Nchi nyingi zina visa on arrival...
Hata sisi tuna visa on arrival ya nchi nyngne nyng tu ... Sema zimekuwa zikipunguzwa for security reasons.. Kiukweli hii ina both postive na negative impact.. Ila hakuna nchi isiyopenda watalii.. Itakuwa kuna sababu zao za kutoa hizo on arrival ...ila sina uhakika kama hill swala limefanyiwa utafit wa kutosha kabla ya kutoa statement
 
For security reasons ni muhimu.. Ni bora ukataze visa on arrival kuepusha majanga makubwa kwenye taifa... Kuruhusu ruhusu ovyo mwsho umepigwa bomu au mall yako imevamiwa kama Westgate

Angola wanawapiga mabomu gani, hehehe
 
Nataka nione siku moja visa on arrival kwa wazungu zimefutwa pia. Kwa sababu wale ndio mabeberu tunaowasema kila siku
 
It doesnt make any sense.

Kwani Tanzania ndiyo tunahitaji security kuliko nchi yoyote ile?

Nchi nyingi zina visa on arrival...
Kila nchi inaangalia maslahi yake, nchi nyingi zilizoendelea hakuna hilo la visa on arrival. Mbona sisi tunawapa wazungu wote visa on arrival wakati wao hawataki hata kutupa visa tukiomba?
 
Kila nchi inaangalia maslahi yake, nchi nyingi zilizoendelea hakuna hilo la visa on arrival. Mbona sisi tunawapa wazungu wote visa on arrival wakati wao hawataki hata kutupa visa tukiomba?

Sasa nchi tulizozinyima ndiyo hizo zilizoendelea?

Sisi kama nchi tuna bahati mbaya ya kupata viongozi. Kipindi hati yetu ina nguvu kelele zilipigwa hatua zichukuliwe haraka kunusuru.

Ila kwasababu ya hii kila siku ya kujitetea "maslahi kwa taifa" hatua zikachukuliwa za kuiua badala ya kuboresha.

Tuna bahati mbaya.

"Tunasaidiwa kufikiria na watu wachache". Ukifuatilia Ishu ya Brexit utanielewa nachosema...Midahalo inafanyika viongozi wanakuwepo wanajadili hasara za "Brexit" na wananchi wao kwa upana...mwisho wa mdahalo kura zinapigwa.... Ila kwetu huo uwazi hauwezi kuwekwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…