Kenya tusiige hili la Tanzania kujifungia ndani na kujitenga na mataifa ya Afrika

Kenya tusiige hili la Tanzania kujifungia ndani na kujitenga na mataifa ya Afrika

Tumewachukua hata omba omba wenu. Kenya tupo na Eritrea ndogo, Ethiopia ndogo, south sudan ndogo, rwanda ndogo yani karibia waafrika wote wapo na mahala wanaita nyumbani hapa Kenya bila ubaguzi.
Mbona ukabila unazidi kuchanua siku hadi siku, vipi muwe na ukarimu na wageni wakati ninyi wenyewe hampendani?, Kenya ni kichekesho cha karne. Vipi mjaluo na mkikuyu iwe ni vigumu hata kufunga ndoa, au kusali kanisa moja lakini eti mnawapenda watu kutoka nchi za jirani?
 
Example moja 2018 ya ndoto zako?
 
Duh! Halafu vijana wa CCM humu walivyopmbana kutetea huo uamuzi wakisema ni wa busara, sasa watabadilika wote, yaani maisha ya buku saba Lumumba unapelekeshwa kama upepo.
Anyway hili gazeti kama kweli walichapisha kwa mihemko bila kuhakiki inafaa waadhibiwe, sio poa kwa kweli. Humu JF tunaleta taarifa kutoka kwao, na kama hawahakiki basi zinaishia kupotosha.
[emoji23] [emoji23]
 
Huwezi lipata hilo ni la wale wajanja.
OK, samahani, nilisahau kwamba huwa mzungumza lugha za makabila yenu ili kuhakikisha watu ambao sio kabila lenu haelewi kina chizi ngumu wa. Huku hatuna ukabila.
 
OK, samahani, nilisahau kwamba huwa mzungumza lugha za makabila yenu ili kuhakikisha watu ambao sio kabila lenu haelewi kina chizi ngumu wa. Huku hatuna ukabila.
Hapana valia akili kichwani kama kofia ndugu.
 
Nyie pambaneni na hali zenu huko Kenya mkituiga mtakuwa mmeingia chaka.
 
Back
Top Bottom