Tumewachukua hata omba omba wenu. Kenya tupo na Eritrea ndogo, Ethiopia ndogo, south sudan ndogo, rwanda ndogo yani karibia waafrika wote wapo na mahala wanaita nyumbani hapa Kenya bila ubaguzi.Kenya ni number 1 kwa kubaguana wenyewe kwa wenyewe, halafu hapa wanakuja kuubiri eti wao ndio wanapenda watu wa nje?
Mbona kenya msiwachukue wote hao wa kutoka congo, Angola, Nigeria na kadhalika ambao wamekatazwa kuingia Tz?
Jeezus....this GoT is stupid gone wild
Hamna kitu kama iko,hiyo ilikua uzushi tu,wacongo hapa bongo ni kama wapo nyumbani na sie kule congo kama tupo nyumbani,mungiki acheni uzushiTanzania inaendelea kufunga visa za kufikia 'visa on arrival' kwa mataifa ya Afrika, iliwabamiza Wanaijeria wakapiga makelele sana, sasa kwa mwendo huo huo imewafuata watu wa mataifa ya SADC kama Angola na DRC.
Hizi hatua za kujifungia ndani sijui mwisho wake, naomba Kenya tuendelee kufungua milango kwa Waafrika wetu, wawekezaji waje kabisa maana wageni siku zote hujituma sana hata kuliko wenyeji.
Bakongo njooni bandari ya Mombasa ipo tu.....
-------------------------------------
Tanzania this week announced the cancellation of visa-on-arrival for two more African nations, citing security concerns.
The decision by Dar es Salaam comes as Africa takes stock of its drive for open borders, with the Visa Openness Index 2018 showing that the majority of countries have made little progress in opening up their borders.
Citizens of the Democratic Republic of Congo and Angola, who are members of the Southern Africa Development Community, have been entering Tanzania visa-free, but the Dar es Salaam administration has revoked this privilege.
https://www.thecitizen.co.tz/News/T...ty-concerns/1840340-4888004-eaam8i/index.html
Sio kweli mkuu,uhamiaji washakanushaKenya ni number 1 kwa kubaguana wenyewe kwa wenyewe, halafu hapa wanakuja kuubiri eti wao ndio wanapenda watu wa nje?
Mbona kenya msiwachukue wote hao wa kutoka congo, Angola, Nigeria na kadhalika ambao wamekatazwa kuingia Tz?
Ulikua uzushi mkuu,Tanzania kamwe hatuwezi kuwafungia wacongo neverIt doesnt make any sense.
Kwani Tanzania ndiyo tunahitaji security kuliko nchi yoyote ile?
Nchi nyingi zina visa on arrival...
Hamna kitu kama iko,hiyo ilikua uzushi tu,wacongo hapa bongo ni kama wapo nyumbani na sie kule congo kama tupo nyumbani,mungiki acheni uzushiView attachment 962978
Usizuge kwa kunivesha u ccm,sinaga habari na siasa,habari yako ni ya kizushi nawe bila kufanya uchunguzi ukaileta hapaDuh! Halafu vijana wa CCM humu walivyopmbana kutetea huo uamuzi wakisema ni wa busara, sasa watabadilika wote, yaani maisha ya buku saba Lumumba unapelekeshwa kama upepo.
Anyway hili gazeti kama kweli walichapisha kwa mihemko bila kuhakiki inafaa waadhibiwe, sio poa kwa kweli. Humu JF tunaleta taarifa kutoka kwao, na kama hawahakiki basi zinaishia kupotosha.
Usizuge kwa kunivesha u ccm,sinaga habari na siasa,habari yako ni ya kizushi nawe bila kufanya uchunguzi ukaileta hapa
Sawa mkuu wa mungiki hapa jukwaani,kwa taarifa kwa bongo ni bora tufungie mungiki kwenye visa on arrival than bana kongo,hii bamutu ya kongo na sisi ni damu damu sio nyie mungiki msiopendana wenyewe kwa wenyewe sbb ya ukabilaWacha kujishtukia, hamna sehemu nimekuvaisha uccm, nimezungumza kuhusu waliojitokeza kutetea habari pindi nilipozileta, wanatetea maamuzi ilmradi tu, kugeuzwa geuzwa kama upepo.
Mimi sina haja ya kufanya utafiti, sio kazi yangu, nikiona taarifa nazileta na kuambatanisha na chanzo chake mfuate huko mkahoji.
Sawa mkuu wa mungiki hapa jukwaani,kwa taarifa kwa bongo ni bora tufungie mungiki kwenye visa on arrival than bana kongo,hii bamutu ya kongo na sisi ni damu damu sio nyie mungiki msiopendana wenyewe kwa wenyewe sbb ya ukabila
Hao wa kwenu,mlivyo na roho za kishetani wangekya wa huku mngekua mshawarudishaOmba omba wenu wanaweza wakaumia sana, kwanza sasa hivi maisha yenu yalivyo magumu kwa vyuma kukaza wameongezeka hadi kero.
Those with roho za keshatani can be known by eating albinos and having a high percentage of witchcraft activities which we all whos clearly leading here[emoji23] [emoji23]Hao wa kwenu,mlivyo na roho za kishetani wangekya wa huku mngekua mshawarudisha
Dunia nzima nyie ndio mnaoongoza kwa ukabila ndio maana mmebarikiwa laana ya roho mbaya na umaskini wa kupitiliza hlf ndio mkabarikiwa utitiri wa slums,kati ya wakenya 10 wakenya 9 wanaishi kwenye slumDunia yote albino wanaliwa kwenu tu, ndio maana mna laana ya umaskini.
Dunia nzima nyie ndio mnaoongoza kwa ukabila ndio maana mmebarikiwa laana ya roho mbaya na umaskini wa kupitiliza hlf ndio mkabarikiwa utitiri wa slums,kati ya wakenya 10 wakenya 9 wanaishi kwenye slumView attachment 963284View attachment 963287View attachment 963289View attachment 963292View attachment 963294View attachment 963299
Bora uwe mkabila mara mia moja kuliko kuwachinja watoto wa albino na kuwala eti itakusaidia kutajirika, nyie umaskini utawatawala kwa muda mrefu saana kwa ajiri ya hiyo laana.
Duh! Halafu vijana wa CCM humu walivyopmbana kutetea huo uamuzi wakisema ni wa busara, sasa watabadilika wote, yaani maisha ya buku saba Lumumba unapelekeshwa kama upepo.
Anyway hili gazeti kama kweli walichapisha kwa mihemko bila kuhakiki inafaa waadhibiwe, sio poa kwa kweli. Humu JF tunaleta taarifa kutoka kwao, na kama hawahakiki basi zinaishia kupotosha.