Zigi Rizla
JF-Expert Member
- May 25, 2019
- 1,064
- 1,107
ulinzi shirikishi guys!Kakunie. Huna tofauti na hawa wanamgambo.
Kunyaland kuna reserve Police pia nashangaa anakenua matope!Hakuna tofauti hapo na Sonko Rescue Team. Vijana wanao jitolea kufanya kazi ya ziada badala ya kukaa vijiweni wakibugia madawa ya kulevya.
Vijana Mjitume, hongera
[emoji38] [emoji38] [emoji38] sababu yao ina jina la kiingereza basi wanaona ni poa.Kunyaland kuna reserve Police pia nashangaa anakenua matope!
si ndo maana nimesema Kiswahili kinampiga chenga huyu mburura Zigi Rizla jina jeshi limemfanya kuhara! Polisi pia nao ni jeshi![emoji38] [emoji38] [emoji38] sababu yao ina jina la kiingereza basi wanaona ni poa.
hizi mbuzi zinazokula mifuko ya plastic ni shida sana.
[emoji38] [emoji38] [emoji38] sababu yao ina jina la kiingereza basi wanaona ni poa.
hizi mbuzi zinazokula mifuko ya plastic ni shida sana.
acha kichaa cha mimba changa mzee, hao tunaita mgambo.Reservists wapo Kenya kwa ajili ya kupambana na majangili kule kwenye jamii za wafugaji, ila hautawaona wakihusishwa dhidi ya wapinzani. Hao wenu yaani wameibuka kwenye nyomi za Lissu pekee yake, sikujua huyo mwanasheria amefikia kiwango cha kuwababaisha hivi.
acha kichaa cha mimba changa mzee, hao tunaita mgambo.
wanafanya kazi zote za polisi,kuwepo hapo maana yake wameenda kusaidia polisi mass control.
kama wenu wanakimbizana na majangiri huko polini, haimaanishi dunia nzima inawatumia kwa kazi hiyo.
utawaona popote kuanzia sasa.Hizo mass control mbona ghafla kwa nyomi ya Lissu, hamuwatumi kwa CCM hao jeshi la akiba....
Wapo siku zote, wanasimamia uchaguzi serikali za mitaa miaka yote, wanasimamia mitihani std 7, form two na four n.k. Lisu ni kuwadi wenu, akili zake na uhuru hawana tofauti, kama chadema ingekuwa madarakani tungekuwa tumefungiwa ndani. Tano tena kwa GufuriHehehehe siasa za Bongo bana, pitia kule jukwaa lao la siasa utaona vituko, sasa hawa Jeshi la Akiba wamezinduliwa kwa ajili ya CDM tu, huwaoni kwenye mikutano ya CCM, halafu ili uagize jeshi la akiba ilipaswa jeshi rasmi liwe limeshindwa, yaani "reserve army" huhusika pale jeshi rasmi limelemewa na kazi.
Upinzani Bongo wakubali hawana namna ya kushinda huu uchaguzi, sio kwa mikwara yote hii, niliona video fulani Lissu anawasema sana hawa vijana.
Wajiandae labda baada ya 2030