Kenya tusikubali CCM wakati wa kampeni

Kenya tusikubali CCM wakati wa kampeni

Zigi Rizla

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2019
Posts
1,064
Reaction score
1,107
Very disturbing photos from Tanzania of a group identified as "reserve army" reportedly seen during ccm_tanzania campaign rallies.

Clarification is needed on what group this is legally? and why they are part of political campaign rallies.

Eg7PCVqWoAAbYj8.jpg
 
Hehehehe siasa za Bongo bana, pitia kule jukwaa lao la siasa utaona vituko, sasa hawa Jeshi la Akiba wamezinduliwa kwa ajili ya CDM tu, huwaoni kwenye mikutano ya CCM, halafu ili uagize jeshi la akiba ilipaswa jeshi rasmi liwe limeshindwa, yaani "reserve army" huhusika pale jeshi rasmi limelemewa na kazi.
Upinzani Bongo wakubali hawana namna ya kushinda huu uchaguzi, sio kwa mikwara yote hii, niliona video fulani Lissu anawasema sana hawa vijana.
Wajiandae labda baada ya 2030
 
[emoji38] [emoji38] [emoji38] sababu yao ina jina la kiingereza basi wanaona ni poa.

hizi mbuzi zinazokula mifuko ya plastic ni shida sana.
si ndo maana nimesema Kiswahili kinampiga chenga huyu mburura Zigi Rizla jina jeshi limemfanya kuhara! Polisi pia nao ni jeshi!
 
Ulinzi shirikishi walinde mitaani ambako kuna wezi na vibaka....... Kampeni za Tundu Lissu sio za kuchezea na hao vikaragosi
 
[emoji38] [emoji38] [emoji38] sababu yao ina jina la kiingereza basi wanaona ni poa.

hizi mbuzi zinazokula mifuko ya plastic ni shida sana.

Reservists wapo Kenya kwa ajili ya kupambana na majangili kule kwenye jamii za wafugaji, ila hautawaona wakihusishwa dhidi ya wapinzani. Hao wenu yaani wameibuka kwenye nyomi za Lissu pekee yake, sikujua huyo mwanasheria amefikia kiwango cha kuwababaisha hivi.
 
acha kichaa cha mimba changa mzee, hao tunaita mgambo.

wanafanya kazi zote za polisi,kuwepo hapo maana yake wameenda kusaidia polisi mass control.

kama wenu wanakimbizana na majangiri huko polini, haimaanishi dunia nzima inawatumia kwa kazi hiyo.
 
Hizo mass control mbona ghafla kwa nyomi ya Lissu, hamuwatumi kwa CCM hao jeshi la akiba....
 
Hehehehe siasa za Bongo bana, pitia kule jukwaa lao la siasa utaona vituko, sasa hawa Jeshi la Akiba wamezinduliwa kwa ajili ya CDM tu, huwaoni kwenye mikutano ya CCM, halafu ili uagize jeshi la akiba ilipaswa jeshi rasmi liwe limeshindwa, yaani "reserve army" huhusika pale jeshi rasmi limelemewa na kazi.
Upinzani Bongo wakubali hawana namna ya kushinda huu uchaguzi, sio kwa mikwara yote hii, niliona video fulani Lissu anawasema sana hawa vijana.
Wajiandae labda baada ya 2030
Wapo siku zote, wanasimamia uchaguzi serikali za mitaa miaka yote, wanasimamia mitihani std 7, form two na four n.k. Lisu ni kuwadi wenu, akili zake na uhuru hawana tofauti, kama chadema ingekuwa madarakani tungekuwa tumefungiwa ndani. Tano tena kwa Gufuri
 
Back
Top Bottom