joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Tumeshawazoea wakenya ni watu wa kulialia na kulalamikia, kila kitu ninyi mnaona mnanyanyaswa, sio CNN, sio The New York Times, sio UN, sio Tanzania, wote wananyanyasa Kenya. Magufufuli kaza kamba usilegeze, wantanyooka kama msumari hawa Nyang'au.Mkikuyu- Akili timamu one of your country men can see my point.
A nation that has a comparative advantage like you claim, will encourage free trade..what TZ is doing to Kenyan traders at the border is just mind-boggling. It does not make sense at all.
Hii sio Kenya hata Uganda, nguo zilizonunuliwa Dubai sisi tunaenda zinunua Uganday
Yale malori meng ni wazawa wanaojaribu kuingiza bidhaa toka kenya. Hivi unahabari kuna bandari kuna kila kitu lakin kuna mtu anaenda kununua nguo kenya na kuja kuziuza kariakoo kwa jumla? Kama unabisha panda dar express nenda nairobi walifungua buti chungulia
Unalia au unalalamika??πππHashtag #FairTradeKE sur Twitter
Tanzania wants to sell their goods to Kenya, but they don't want to see Kenyan goods in TZ.
this kind of dump-fuckery is un-fathomable, bongolalas think we have no brains.
Kenya does not buy natural gas.Agriculture has failed in kenya. Tz is provinding most of onions, tomatoes, , potatoes,oranges, wheat, natural Gas etc to kenya thats is the only cheap option reaginally.
kenya cannot afford TZ Gold,Tanzanite, diamond.
Kenya has been for the last 5 years been exporting manunafutuered good to Tz. Tz manufaturing is on the rise.. There is nothing new that is manufuctured that can be exported to TZ.#MATAGA ..
Uhuru kenyatta was given a working economy by Kibaki and Quickly run it down
Hahahah uvumilivu gani kwa akili yako wewe unaona mutafanya nn kuikomoa tanzania nilishawah kukwambia kenya inahitaji sana tanzania kuliko tanzania inavohitaji kenyaπππππWe have the weakest administration ever, by now Kenya is supposed to have reciprocated and returned in kind every hate from Tanzania, inafaa tuwe na kiwango cha uvumilivu sio kuruhusu kila upuzi.
πππππππππππWe have the weakest administration ever, by now Kenya is supposed to have reciprocated and returned in kind every hate from Tanzania, inafaa tuwe na kiwango cha uvumilivu sio kuruhusu kila upuzi.
Kenya imports Gas from TzKenya does not buy natural gas.
The little that comes to Kenya is from Qatar, Not Tanzania.Even when we wanted to build a 700 MW power plant in Mombasa, the supplier was to be Qatari.
Correction:Some parts of Kenya get agricultural supplies from Tanzania because they are closer.Yes, some agricultural goods in Mombasa are from Tanzania.
But not Nairobi
Or Western.
So No.
And how has Agriculture failed in Kenya when we are the largest exporter of black tea on the planet, largest producer of pyrethrum in the world, the largest producer of macadamia on the continent and the second largest producercof milk in Africa after South Africa???Please!!
πππππππππππTanzania is just an insignificant country.If eliminated from the face of the earth, nothing will change
Hahahahahhaπππππππππ watu wanalia na tanzania ila magu wewe ni chumaTanzania is just an insignificant country.If eliminated from the face of the earth, nothing will change
Hahahah uvumilivu gani kwa akili yako wewe unaona mutafanya nn kuikomoa tanzania nilishawah kukwambia kenya inahitaji sana tanzania kuliko tanzania inavohitaji kenyaπππππ
Bring it on tuone!Haitakua nia ya kuikomoa, ila kujibu mashambulizi, haiwezekani hili liserikali letu limenyamaza wakati kutwa Watanzania wanaiwaza Kenya kwa kila kitu chuki full machungu, ilhali na wao wana shughuli zao nyingi tu huku, kuna wakati wa kukubali hasara kwenye maisha na haitakua mara ya kwanza, tuliwahi kufungiana na kila mtu akabaki kwake, hatukufa.
Hata ndoa ukiona mwenzako kila siku vurugu, unapiga hatua na kusema msemo wa kilugha chetu 'thie ukiumaga'.
kama kuna kitu rais Uhuru ananiboa hadi mishipa inanitoka, ni hili la kuwalea Watanzania, amalize hatamu yake aje mzalendo wa kweli na mjanja kwenye michezo ya aina hii, nahisi naibu wa rais William Ruto huu mchezo sio mgeni kwake.
Ask him, and by the fact that a semi-arid nation like KE can even think of competing with TZ on agriculture is un-thinkable.Kenya does not buy natural gas.
The little that comes to Kenya is from Qatar, Not Tanzania.Even when we wanted to build a 700 MW power plant in Mombasa, the supplier was to be Qatari.
Correction:Some parts of Kenya get agricultural supplies from Tanzania because they are closer.Yes, some agricultural goods in Mombasa are from Tanzania.
But not Nairobi
Or Western.
So No.
And how has Agriculture failed in Kenya when we are the largest exporter of black tea on the planet, largest producer of pyrethrum in the world, the largest producer of macadamia on the continent and the second largest producercof milk in Africa after South Africa???Please!!
Shambulizi gani budaa mutafanya dhidi ya tanzania??? Hvi unaeza niambia ni kitu gani ambacho tanzania inategemea kutoka kenya????πππππ ndio maana nilikwambia kenya inaihitaji tanzania sana tu kuliko tanzania inavohitaji kenya,Haitakua nia ya kuikomoa, ila kujibu mashambulizi, haiwezekani hili liserikali letu limenyamaza wakati kutwa Watanzania wanaiwaza Kenya kwa kila kitu chuki full machungu, ilhali na wao wana shughuli zao nyingi tu huku, kuna wakati wa kukubali hasara kwenye maisha na haitakua mara ya kwanza, tuliwahi kufungiana na kila mtu akabaki kwake, hatukufa.
Hata ndoa ukiona mwenzako kila siku vurugu, unapiga hatua na kusema msemo wa kilugha chetu 'thie ukiumaga'.
kama kuna kitu rais Uhuru ananiboa hadi mishipa inanitoka, ni hili la kuwalea Watanzania, amalize hatamu yake aje mzalendo wa kweli na mjanja kwenye michezo ya aina hii, nahisi naibu wa rais William Ruto huu mchezo sio mgeni kwake.
Hvi wewe unaeza niambia ni sector gani kenya inafanya vzr nitajie moja tuππππHaitakua nia ya kuikomoa, ila kujibu mashambulizi, haiwezekani hili liserikali letu limenyamaza wakati kutwa Watanzania wanaiwaza Kenya kwa kila kitu chuki full machungu, ilhali na wao wana shughuli zao nyingi tu huku, kuna wakati wa kukubali hasara kwenye maisha na haitakua mara ya kwanza, tuliwahi kufungiana na kila mtu akabaki kwake, hatukufa.
Hata ndoa ukiona mwenzako kila siku vurugu, unapiga hatua na kusema msemo wa kilugha chetu 'thie ukiumaga'.
kama kuna kitu rais Uhuru ananiboa hadi mishipa inanitoka, ni hili la kuwalea Watanzania, amalize hatamu yake aje mzalendo wa kweli na mjanja kwenye michezo ya aina hii, nahisi naibu wa rais William Ruto huu mchezo sio mgeni kwake.
Let us see:Hvi wewe unaeza niambia ni sector gani kenya inafanya vzr nitajie moja tuππππ
Sector ya uchukuzi loss
Sector ya maji loss
Sector ya elimu majanga
Sector ya fedha mikopo imezidi kudidimiza nchi kwenda chini and now 62% debt to gdb ratio
Utaniambia ni sector gani kenya inafanya vzr????ππππ