Haitakua nia ya kuikomoa, ila kujibu mashambulizi, haiwezekani hili liserikali letu limenyamaza wakati kutwa Watanzania wanaiwaza Kenya kwa kila kitu chuki full machungu, ilhali na wao wana shughuli zao nyingi tu huku, kuna wakati wa kukubali hasara kwenye maisha na haitakua mara ya kwanza, tuliwahi kufungiana na kila mtu akabaki kwake, hatukufa.
Hata ndoa ukiona mwenzako kila siku vurugu, unapiga hatua na kusema msemo wa kilugha chetu 'thie ukiumaga'.
kama kuna kitu rais Uhuru ananiboa hadi mishipa inanitoka, ni hili la kuwalea Watanzania, amalize hatamu yake aje mzalendo wa kweli na mjanja kwenye michezo ya aina hii, nahisi naibu wa rais William Ruto huu mchezo sio mgeni kwake.