Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwa nini?? kivipiSio sawa.
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]Na huko ITunes vipi nako
Kichaa kabisaHujasoma hesabu nini?
Hapo unarejea kwenye percentage unachukua 77 kwa 21 na both zipo 3,ina maana hizo tatu zipo pande zote mbili so, chakufanya toa 3 kila sehemu utabakiwa na 74 kwa 17 na zile tatu na kila upande jumla 6,ukijumlisha na 3 unapata 9 kwahiyo hesabu inakuwa kama ifuatavyo.
74% + 17% + 9% =100%
Kama ulitoroka hesabu huwezi elewa hapo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo hesabu ya kilevi peleka kwenye mbege hukoHujasoma hesabu nini?