Kenya Uchumi Unapumulia Mashine

Kenya Uchumi Unapumulia Mashine

Kwa hiyo kutengeneza prepaid electric meters kuna hitaji umeme mwingi kama wakenya!! Hahaa nimecheka kwa dharau.. For your info Tz electric capacity exceeds her demand. Ila demand inakua kwa haraka sana ndiyo maana tuna plans ya kuongeza capacity.

Wamezowea kusoma magazeti ya kwao yanaoandika habari za uwongo kuhusu Tanzania
 
Kenya ina import more than it export, trade deficit pejeyake ni $6 billon. Tanzanian tourism pekeyale inaleta $2billion . Trade deficit in Tanzania iko kwenye surplus of $600million.

The question hapa is Kenya is going down almost in every sector. Manufacturing alone is down by 10% below GDP.
Ukiongelea $2bn na sisi pia tunaongelea remittances za over $ 2bn na utalii $1bn sijui unajiribu kusema nini, sasa niletee data ya iyo surplus 600mn kwa Tanzania alafu nahama jamii fforum
 
Horticultural alone tuliexport $3.5bn alafu majani over$1bn sasa leta data utuoyeshe venye Tanzania ina export more than imports . ....ni kama nyinyi huwa mnafikiria na mikun**du,shughulikeni na ya kwenyu kwanza....
Lazima utukane?
 
Sasa na hayo madeni kwa GDP hiyo yenye inflation balaa. Duuu.
 
Kenya ina import more than it export, trade deficit pejeyake ni $6 billon. Tanzanian tourism pekeyale inaleta $2billion . Trade deficit in Tanzania iko kwenye surplus of $600million.

The question hapa is Kenya is going down almost in every sector. Manufacturing alone is down by 10% below GDP.
In short kitu najaribu kusema ata tanzania imports more than its exports kwa ivo shughulikeni na ya kwenyu muaache mdomo mingi
 
Ukiongelea $2bn na sisi pia tunaongelea remittances za over $ 2bn na utalii $1bn sijui unajiribu kusema nini, sasa niletee data ya iyo surplus 600mn kwa Tanzania alafu nahama jamii fforum
Hama JF sasa hivi, rudi K Talk. Hizo pipes tuna zi export sana na Kenya ni wateja wetu wa kudumu.
Screenshot_2018-05-01-19-57-18.jpg
 
In short kitu najaribu kusema ata tanzania imports more than its exports kwa ivo shughulikeni na ya kwenyu muaache mdomo mingi
Usitupangie cha kusema, tutasema tunavyo taka kusema.

Compare $130 million for Tanzania to $10 billion of Kenya, you don't need to be a rocket scientist.
 
Usitupangie cha kusema, tutasema tunavyo taka kusema.

Compare $130 million for Tanzania to $10 billion of Kenya, you don't need to be a rocket scientist.
Tuna import more juu sisi tuna middleclass wengi nyinyi kwenu ldc middleclass wachache period!!!!
 
You put out a dare and lost to @thisdayes,Good Hama JF, you are a useless mwasiti bot 😀😀
Credible source sio mwanaume mzima ananiokotea magazeti kisa analeta hapa as of 2017 tanzania imports zilikuwa $9.8bn na exports zilikuwa $6bn simple Google Search inaoyesha ivo *****. ..
 
Hii ndoo shida yenu kunukuu magazeti kila saa, exports za Tanzania in 2017 zilikuwa $6bn aganist imports za $10bn muache kua wepesi na wavivu
Hivi vitu havitamkwi ki rahisi hivyo, kupata picha ya exports na imports inatumika BOP statement. Unachukua Ikiwa - ina itwa deficit ikiwa + ina itwa surplus. Kama ambavyo tuna tizama financial reports za makampuni ku determine profitability na vitu vingine. Nchi zina andaa BOP statement ku onyesha tofauti ya exports na imports. BOP ya Tz ni + hayo mengine unaya okota kijiweni kwako Kibera. Feel free kutuletea BOP ya Kenya
 
Sasa kwa hiyo ripoti hapo chini imesema total import bill ilitoka $9.3 hadi $7.80bn sasa sijui tunabishana nini, wacha kuleta ripoti nusunusu na unitag ukipata surplus kwa total import bill.
 
Wabongo bhana, kwako kunaungua unaenda kuzima kwa jirani!!!
 
Tuna import more juu sisi tuna middleclass wengi nyinyi kwenu ldc middleclass wachache period!!!!
Haha, what silly thing to say eti tuna middle class wengi. What is that they need the most mpaka wana bankrupt the whole country. Usisahau multinationals they import service abroad with false invoice and Kenya pays 10x more the actual price. One way of repatriating their profits back home.
 
Back
Top Bottom