Kenya, Uganda and Rwanda agree joint visa to promote tourism

Kenya, Uganda and Rwanda agree joint visa to promote tourism

Kabaridi

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2011
Posts
2,022
Reaction score
534
Kenya, Uganda and Rwanda have agreed to have a joint tourist visa to attract more visitors to the countries, a principal secretary has said.

Mohamed Ibrahim of Commerce and Tourism said the visa is to facilitate and ease international arrivals to partner states.

“To promote regional tourism, the partner states further agreed to allow their people to use national identity cards while crossing respective borders and air travel within the states,” Dr Ibrahim said.

Addressing a World Tourism Organisation General Assembly in Zimbabwe, Dr Ibrahim said in a speech made available to the Nation that national borders should not be barriers to tourism growth.

Dr Ibrahim said as an East Africa regional air travel hub, Kenya has embarked on an expansion process of its key airports.

“We believe our success in this effort will spur tourism growth in Kenya and within the region,” Dr Ibrahim said.

DISRUPT TRAVEL

He regretted that a recent fire at Jomo Kenyatta International Airport disrupted travel within the region but the situation has been contained.

“We thank the international community for the support given to Kenya during the affected period and particularly East Africa Community partner states for availing their airports for use,” Dr Ibrahim said.

Dr Ibrahim said Kenyan infrastructure support facilities are being improved to enhance road travel and that the country’s inbound and outbound road travel has increased significantly.

“Cruise tourism has improved as a result of regional concerted peace efforts in Somalia. We congratulate Somalia Government for prioritizing tourism and urge United Nations World Tourism Organisation (UNWTO) family to support Somalia tourism,” he said.

In anticipation of further growth in cruise tourism, the PS said Kenya has prioritised expansion and modernization of its ports and support facilities.

He urged UNWTO countries to prioritise peace building efforts for tourism growth.

VICTORY AND HONOUR

Meanwhile, Kenya Utalii College principal Kenneth Ombongi has been elected the UNWTO Vice President of the Affiliate Members Board in charge of Africa region.

The election took place at the Extraordinary Plenary Meeting of the Committee of Affiliate Members held at the Elephant Hills Hotel, Victoria Falls town in Zimbabwe.

East Community, Commerce and Tourism Cabinet Secretary Phyllis Kandie congratulated Dr Ombongi for his appointment.

“I am delighted that a Kenyan has been elected the Vice-President of UNWTO. It is a statement of how highly the continent regards those who manage the tourism sector in Kenya. We heartily congratulate Dr Ombongi for the victory and the honour bestowed to our country through his election,” Ms Kandie said.

After his election, Dr Ombongi said: "This election is a victory for my motherland, Kenya. It is, equally, a reward for the Kenya Utalii College, the first hotel school in Africa, which has continually, consistently and successfully trained personnel for the global hospitality and tourism sector for over 46 years."

In his position, Dr Ombongi will be able to lobby for more support for African institutions and organisations which are affiliate members of the UNWTO.

The UNWTO has more than 400 affiliate members and 340 took part in the election.

nation
 
Very well, allow us to do what we please then. After all we are not hurting you.

Of course sir...but your politicians especially your president will be very fun and stupid if he is willing to ditch TZ a 45+ million people market for Rwanda of less to 5ml people.

He is preparing an economical catastrophic for Kenya industries which sells in tz market.
 
si lazima tuwe pamoja katika kila jambo, tuangalie maslahi kwanza

Well said, hata uswisi na norway si member wa EU.

TZ inaweza kujizatiti na Burundi and eastern DRC na ikabenefit. TZ is highly geopolitically positioned.
 
Well said, hata uswisi na norway si member wa EU.

TZ inaweza kujizatiti na Burundi and easterb DRC na ikabenefit. TZ is highly geopolitically positioned.

Its to our best interest to have only Congo DRC than Kenya, Uganda and Rwanda all combined, sio kwamba hatutaki kushirikiana nao, lakini hatutaki mbinu zao za kuitumia Congo kwa maslahi yao na ku-distabilize the great lakes region
 
Mkuu, wako pamoja kwa sababu wanaona adui yao ni TZ katika EAC, nasubiri msimamo wa serikali....utaona siku serikali ikitangaza nia ya kujitoa EAC hali itakavyokuwa...is better to have burundi, DRC PLUS Zambia, Malawi than all these three junky states.
 
Selous Game Reseve ina ukubwa wa eneo 44,800 sg km,Rwanda ina ukubwa wa eneo 26,338 sq km.

Serengeti National Park 14,763 sq km, ukizichanganya kwa pamoja na Selous,Tarangire zina ukubwa kuliko mbuga zote za wanyama zilizopo Kenya na Uganda na Rwanda kwa pamoja.Mtalii mjanja hawezi kuacha maajabu ya Serengeti,Kilimanjaro,Tarangire,Soronera,Manyara...... hakakimbilia Kenya kwenye mbuga za wanyama zilizoharibika kwa kujaa malodges na magari mengi per sq km.
 
Hip joint visa Tanzania haiwezi kutusaidia na serikali haiwezi kufikilia hicho kitu we have everything all that we need is good government and policy we are better than them and they know that!!
 
And these are your two cents, if size was the issue doesn't Greenland offer a much better option?
 
Hip joint visa Tanzania haiwezi kutusaidia na serikali haiwezi kufikilia hicho kitu we have everything all that we need is good government and policy we are better than them and they know that!!

We can agree common visa if our share will be 95% per tourist earn.
 
And these are your two cents, if size was the issue doesn't Greenland offer a much better option?

Size matters depending what the land hold; the mentioned are the National parks, only that give them the value....also not only animals, Selous has lots of Uranium deposits....
 
Their combined output in Tourism doesn't come near what Tzania gets in terms of the same.
It will take them more than the common visa to outdone TZ
 
lakini tanzanians are a paranoid lot....the things you focus on are just weird. for example the one visa thing. here people just said okay good thing and forgot about it. I get on the forum and find a thread like this still active. lord help you. oh and another thing stop comparing yourselves nobody ever grew by use of comparison.
 
Atakaye faidi na hili ni wakenya tu...Uganda hakuna movemnet ya utalii sana na Rwanda pia hakuna utalii wa hivyo. Nchi hizo mbile si katika nchi zenye vivutio vya utalii .
kenya ni wanjanja kama mchwa na wana shinikiza Joint Visa kwa maslahi yao tu.
hata hili suala la kuingia na kutoka katika EAC bila ya Passport ni wazo ambalo halina maana yoyote kwa uslama wa nchi hizi
hili litawezakana pale tu Nchi hizi zikiwa katika maendeleo makubwa ya technologia na uhakiki na uandikishwaji wa raia zake.
Kenya inajulikana jimbo la Hargessa ni jimbo la Wakenya wenye asili ya Somali ..ni wakeya ambao mpakani na somali wana jamaa na ndugu ambao wao sio Wakenya bali ni Wasomali kwa uraia..katika hali kama hii sio jambo la usalama kuruhusu watu kutumia ID kuingia utakapo
pasport zinedele kutumika na as it is hakuna pingamizi na hakuna malipo ukiingia na passport yako na wanakupa visa ya mwezi mmoja bure ..so what a big deal mpaka watu waingie na kutoka bila ya uhakiki ?

hili tusilikubali , tujifunze kwa wenzetu wa EU jee wanafanya nini na iliwachikua miaka mingapi kukubaliana single visa ?
Jee kwa nini nchi ya Uingereza wao hawakukubali single visa entry?

kenya pia wana shinikiza South Sudan Kujiunga na EAC kwa maslahi yao tu.lakini nchi hiyo haina sifa ya kuwa katika jumuia hii.
haina uhusiano udugu ama maelewano au hakujakua na ushirikiano wowote na nchii mpya.
lugha yao ni kiarabu , nchi haijaulia bado ina magomvi na sudan, nchi hiii badi ni tabu kumjua nani M Khatoum na nani ni M Juba !!!!

so kama hizi nchi zitakubaliana kuhusu single visa tuwaache hayatuhusu...tusiwa ruhusu wanyarwanda wakajaa hapa, na pia tusiwaruhusu jaluo na kikuyu wakajaa hapa....na hawa wote interest yao ni kujaa Tanzania ...
Tuendele na uhusiano mzuri na Burundi , Tuuwasaidie DRC wapate amani , tumalize matatizo ya mpaka na Malawi , na pia tusidishe uhusiano wetu na zambia....wana tosha hawa kuifanya bandari kuwa very bussy
tuangalie maslahi ya nchi yetu ..ni kubwa ina population kubwa ni nchi kubwa tusiyumbishwe
 
tuwaache tu waendelee na joint visa, hata EU kuna joint visa ya schengen lakini Uingereza haipo pamoja na kwamba wapo EU. hivyo tusitishwe.

Joint visa ya shengen ni citizens visa for EU citizens to travel within the eu….this joint visa program Kenya Uganda na rwanda ni ya watalii kutoka nchi ya kigeni. Wengi wa watanzania hawaelewi tayari kuna integration AM. Call it as you may..I have just read somewhere that Kenyan investors after UK and marekani is the second largest groups of FDI investors pamoja na ile idadi ya wakenya wengi wanafanya kazi Tanzania.

That alone ni ishara tosha integration is possible in many other sectors. Hivyo, practically, integration is possible, tatizo pengine ni wanaofaidika kutoka kwa state bureaucracy wataipinga kwa kutoa vijisababu mbali mbali. Uingereza kukataa kuweka mkataba wa joint visa wa shecngen sio sababu. Lazima tuangalie ni lini Joint visa hiyo ilikubalika.

Atakaye faidi na hili ni wakenya tu...Uganda hakuna movemnet ya utalii sana na Rwanda pia hakuna utalii wa hivyo. Nchi hizo mbile si katika nchi zenye vivutio vya utalii .
kenya ni wanjanja kama mchwa na wana shinikiza Joint Visa kwa maslahi yao tu.
hata hili suala la kuingia na kutoka katika EAC bila ya Passport ni wazo ambalo halina maana yoyote kwa uslama wa nchi hizi
hili litawezakana pale tu Nchi hizi zikiwa katika maendeleo makubwa ya technologia na uhakiki na uandikishwaji wa raia zake.
Kenya inajulikana jimbo la Hargessa ni jimbo la Wakenya wenye asili ya Somali ..ni wakeya ambao mpakani na somali wana jamaa na ndugu ambao wao sio Wakenya bali ni Wasomali kwa uraia..katika hali kama hii sio jambo la usalama kuruhusu watu kutumia ID kuingia utakapo
pasport zinedele kutumika na as it is hakuna pingamizi na hakuna malipo ukiingia na passport yako na wanakupa visa ya mwezi mmoja bure ..so what a big deal mpaka watu waingie na kutoka bila ya uhakiki ?

hili tusilikubali , tujifunze kwa wenzetu wa EU jee wanafanya nini na iliwachikua miaka mingapi kukubaliana single visa ?
Jee kwa nini nchi ya Uingereza wao hawakukubali single visa entry?

kenya pia wana shinikiza South Sudan Kujiunga na EAC kwa maslahi yao tu.lakini nchi hiyo haina sifa ya kuwa katika jumuia hii.
haina uhusiano udugu ama maelewano au hakujakua na ushirikiano wowote na nchii mpya.
lugha yao ni kiarabu , nchi haijaulia bado ina magomvi na sudan, nchi hiii badi ni tabu kumjua nani M Khatoum na nani ni M Juba !!!!

so kama hizi nchi zitakubaliana kuhusu single visa tuwaache hayatuhusu...tusiwa ruhusu wanyarwanda wakajaa hapa, na pia tusiwaruhusu jaluo na kikuyu wakajaa hapa....na hawa wote interest yao ni kujaa Tanzania ...
Tuendele na uhusiano mzuri na Burundi , Tuuwasaidie DRC wapate amani , tumalize matatizo ya mpaka na Malawi , na pia tusidishe uhusiano wetu na zambia....wana tosha hawa kuifanya bandari kuwa very bussy
tuangalie maslahi ya nchi yetu ..ni kubwa ina population kubwa ni nchi kubwa tusiyumbishwe

It is possible for utalii to thrive in Uganda and Rwanda inategemea uongozi uliopo na pia ni vizuri to base your points on current statistics kutoka kwa idara mbali mbali ya mataifa hayo badala ya kutumia sources kama CIA factbooks, how well are CIA fatcbooks updated, do we know???!!.

Mfano mzuri nitakupa ni mabadiliko ya sera za kiuchumi na biashara kagame ameleta Rwanda. much as he is condemned by the west and as africana we enjoy singing along with what the west says!!... Ukweli ni kwamba hata mie sijawahi kupata sababu kamili magazetini au kokote, zilizofanya uingereza kukataa kushiriki kwenye joint visa program.

Pili,hujatoa sababu zozote kusema kwanini Kenya itafaidika sana,…hujatoa sababu kama itafaidika kifedha au kivipi??…nijuavyo, kando na visa permit, Uganda Kenya na rwanda zinafanya mipango ikitumia rasilimali zao wenyewe kuboresha miundo mbinu, kuboresha hali ya usalama kutokana na madhara ya ugaidi wa alshabaab na alqaeda… yakitumia fedha zao binafsi.… ….The end result, watakaofaidika ni Rwanda na Uganda wenyewe kwa kuboresha sekta za uchumi na biashara….rwanda is on course, ranked number one in africa ya kuondoa vidhibiti vya kuzuia ubora wa kufanya biashara…. Uganda nao wameweka plans za ujenzi wa reli na mambo mengine….kenya nao LAPPSETT ndio hio….kwahivyo, joint visa is just part of a greater plan….

Tatu, maslahi ya Tz ni gani mpaka sasa, na kuna matumaini ya kutimiza maslahi yake miaka hamsini baada ya kupata uhuru, taifa inalojivunia ardhi kubwa.

Nne, sudan kusini na Somalia wanatamani kuingia EAC, na wanafanya mambo haya kwa msingi wa kihistoria..wameshagundua wenyewe ni wapi kuna mafinikio ya kiuchumi na wanatamani kujiunga na wale wamefanikiwa... where they will be guranteed of economic freedoms and growth, not forgetting economic stability na sio shinikizo ya kenya kwa sudan...hivyo EAC, guarantees them that security..

Usalama wa mataifa ya afrika ya mashariki sio sababu ya kufanya kutoangalia manufaa ya joint visa. Tayari tuna mataifa ya kiafrika (Tanzania na Rwanda ) yanayotatua mzozo wa DRC bila mafanikio. Is there any hope that italeta suluhu congo….indicators zinaonyesha not very soon... maana nimesema mara kwa mara, of the current DRC players,, hakuna wa kuaminika.
 
Back
Top Bottom