Kenya, Uganda and Rwanda agree on Joint Tourism

Kenya, Uganda and Rwanda agree on Joint Tourism

Hahahaha mnajiribu kujitenga lakini hamuez kwan utalii Wa Kenya unategemea Tanzania kwa zaidi ya 40%
Hao Uganda na Rwanda hawana impact yoyote kwenye utalii wa kenya so naona kama mnajitekenya na kucheka wenyewe anyway all the best majiran mfanikiwe.
Ila wakija wapeni habari kua the Top most land is from Tanzania and the oldest human being fossil was found in Tanzania
Bora akili kuliko mali
 
Which school did you attend?
Trust me, this will help you, next time bring something from reliable sources,
Kama vile IMF au world bank.
According to world bank Kenya GDP by 2016 was $63bn , hiyo blogi yako yasema ni $55bn

Halafu morocco wana over $110bn yet I don't see them there.
Tupa kule.
Hehehe, fimbo chapa
 
02dedb50fa94983cd33f3bb0ff4c0070.jpg
 
Which school did you attend?
Trust me, this will help you, next time bring something from reliable sources,
Kama vile IMF au world bank.
According to world bank Kenya GDP by 2016 was $63bn , hiyo blogi yako yasema ni $55bn

Halafu morocco wana over $110bn yet I don't see them there.
Tupa kule.
Google between kenya na tz uone ni nchi gani masikini?
 
Msumbiji hawataki ujinga wamewafurusha wabongo bila huruma. Wanasubiri msaada baada ya kufika kwao,
Wale madogo wa msumbiji wamevuta bangi ya Malawi, hata raisi wao Felipe nyusi amelelewa bongo tangu utoto wake,
Tumewasaidia kwa mengi hata kuikomboa nchi yao mikononi mwa wakoloni,
Leo tunaskia wanafukuza ndugu zetu huko hata wenye vibali halali, wananyang'anya Mali zao na kubaka Dada zetu,
They are trying to lower our tolerance threshold.
But I am sure this will be resolved soon.
 
They have agreed to market tourism together as shown in the link above, they are also looking forward to a joint visa agreement on tourism. This is basically indicating how Tanzania is alienating itself from The East Africa Community
WHO CARES ?
 
Asante. Tunajua Tanzania mna kila kitu mmekosa tu binadamu.
Hahaha...NYANG'AU unasemaje?

Eti Mkenya ndio anamwambia Mtanzania hana ubinadamu.

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
huu muungano hauna miaka 5 kabla ya kuvunjika, kenya ameingia kichwa kichwa kwa ug na rw
Manyang'au yalivyo na roho mbaya...hapo yatatimuliwa tu

Ngoja tuone.
 
Hahaha...NYANG'AU unasemaje?

Eti Mkenya ndio anamwambia Mtanzania hana ubinadamu.

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Ndio mla Albino. Mdanganyika sii binadamu
 
Unajua kuwa Kenya inapata Usd 800m na Tanzania Usd 2.5b kwa mwaka kutokana na utalii? Kenya wanazidiwa kwa utalii hadi na Mauritius.

Mmefanyia nini hizo pesa. Si shamba la bibi hilo. Nchi yenyewe masikini kutupwa
 
Back
Top Bottom