Kenya, Uganda &Co. make ANAL EXAMS-UN!

Barbarosa

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2015
Posts
22,584
Reaction score
27,817
Nchi zifuatazo huwapekuwa na kuwakagua Wafungwa kwenye mkundu ili kubaini kama ni mashoga au la, hii ni kulingana na taarifa ya UN, TZ yetu haimo kwenye orodha lkn sina uhakika kama sisi hatufanyi huo upekuzi na udhalilishaji mkubwa!



Kwa hisani ya Human Rights Watch!

 
Sio kweli.

Ukaguzi ni kuangalia kama wafungwa na hasa mahabusu wameficha nini huko. Nasikia huwa bangi na hata chapati hupenyezwa gerezani kwa njia hiyo.
 
Hizi post za kishoga zimetamba sana tangu balozi wa mashoga Kaoge apigwe ban na porojo zake Take One ya Zamaradi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…